Njia rahisi ya kudownload video facebook

BongoTechno

Member
Jan 22, 2017
27
13
Habari zenu wakuu , leo ningependa kuelezea jinsi ya kudownload video kutoka
facebook/ Jinsi ya kudownload video za Facebook ( Najua baadhi yetu tunajua na baadhi ya watu wengine hawajui ).

Katika Facebook tumekuwa tukishare video zetu na kuziangalia online tu bila ya
kuzidownload hizo video
Basi leo tutaangalia jinsi gani ya
kudownload hizo video bila tatizo lolote kwa kufuata njia hii rahisi

Hatua za kufuata

1.Kwanza kabisa fungua video hiyo unayotaka kuidownload, kisha copy url ya video hiyo.

2.Kisha fungua online Downloader kama vile http://downvids.com

3.Kisha Paste url ya Video, alafu bofya kitufe cha DOWNLOAD

4.Baada ya Kubofya kwenye kitufe cha DOWNLOAD ,Basi hapo utaona Video inaanza kujidownload.

Huduma ya Downvids.com inatumika katika kudownload video za facebook na Youtube.

SOMA NA HII :
BONGO TECHNO: JINSI ya kukubali au kukataa maombi ya urafiki facebook kwa mara moja
 
Back
Top Bottom