Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,211
- 4,328
Sorry wakuu,nashindwa kuplay azam 2 tv,katika live streaming yao inazingua sijui kwanini,pia na ITV inanzingua kwa android app. waklati tayari nimeinstall vizuri tu lakini haitaki kuplay live.kwa mwenye uzoefu na anazitumia sana hizi live channels online anisaidie please au namna nyingne ya kuzipata kwa kutumia PC ase.