Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wanajukwaa...Kwa dar wapi naweza kuoata pc yenye hizi specs kwa bei rahisi na ubora mzuri. Core i7 2.7 ghz ram 4gb video memory 2gb model yoyote
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari za mchana, Poleni na majukumu. Nataka nisikie kutoka wa mtumiaji wa TECNO W5 Lite kama ina uwezo wa 4G. Ninatumia Vodacom na mkoa niliopo bado Vodacom 4G haijafika. Asante.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Soldering station ni bei gani na wapi zinapatikana
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Naomba kujuzwa kama mita zinazopima Equivalent Series Resistance(ESR) of capacitor zinapatikana kariakoo?
1 Reactions
1 Replies
561 Views
Wakuu habari zenu?sorry natatizo ktk application iyo(instagram) tangu jana najaribu kulog in haitak kabisaa na anuani ni ile ile hata neno siri pia ni lile,imegoma jana hadi leo hii,upande wa...
1 Reactions
3 Replies
859 Views
Kutengeneza Messenger App nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza messenger App ya kawaida tu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada wadau nahitaji kufungua email address yenye jina langu mwenye ujuzi tafadhar ninyoeshe njia. Asante
0 Reactions
11 Replies
4K Views
naomba kuuliza kifaa hiki kiitwacho 3d video magnifier je ninaweza kuchomeka simu kwenye hiki kifaa na nikafungua documents mfano za pdf na zikaonekana kwenye hichi kidude. au kinafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Naombeni msaada kwanini computer yangu nikiingiza code(html,css) za picha video na audio inakataa naombeni msaada labda kuna sehemu natakiwa kurekebisha
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Wadau mambo vipi, Juzi usiku maeneo ya Tazara nliibiwa simu yangu ni iPhone 6,kwa bahati mbaya icloud haikuwa active. Details nyingine kama imei nnazo, najua uwezekano wa kuitrack Upo na JF kuwa...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Hellow JF Members! Naomba kufahamu kama ni kweli betri za kampuni ya Samsung zina Tracking device na zinaweza kutuma Private Data zako na kwenye Savers zao? Kama si kweli hizo kama wires...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
jinsi ya kuifanya icloud iwe active hata mwizi/kibaka akiiba asiwezi kabisa kuidukua ahangaike kama walivyohangaika FBI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Nimeazimia kwamba, nataka kununua Satellite Dish (nadhani natumia jina sahihi) yaani pamoja na receiver ili niweze kupata FTA channels. Hii ni kwa mategemeo kwamba nitaweza...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
salam wadau vigezo vipi vinatakiwa viwepo kwenye website yako ili kuinclude ads kama googleads, infolinks na nyingine? and which one is best? msaada wataalam
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari? Kwa wale wataalamu wa magari unapoweka mashine ya kupima gari na kupata matokeo haya tatizo linakuwa ni nini na linatatuliwa vipi? Si mnajua mambo ya mafundi akitoka hapo anapiga mpunga...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Natumia sony bravia smart tv na dish la azam. Kila nikiweka simu yangu on kwenye wifi inaletea sony bravia wifi inaonekana iko na nguvu sana. Naomba msaada wa kujua password maana inahitajika...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
habari wa ndugu.HUAWEI Y300 Inawaka lakini haifungui prpgram yoyote inastuck ikishawaka kaalama ka ua je nifanyaje kabla sijaenda kwa fundi
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi natumia cm ya android ninahitaji kutumia mb zilizoko kwenye cm yangu kwenda kwa desktop kwa njia ya hotspot je nifanyeje ili ikubali kukonect?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa wapi nitapata screen ya dell inspiron inch 17 new model na bei zake ni tsh ngap
0 Reactions
3 Replies
767 Views
Tafadhali naombeni msaada tutani Laptop Toshiba satellite Radius L10w-C2019 haifanyi Booting kwa kupitia Flash. msaada wa Haraka unahitajika kila niki bonyeza F 12, nimejaribu pia F2, ESC zote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…