Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 447
- 231
Wakuu nimefika bukoba nina kama wiki hivi ila network ni poor yaan sehem nyingi iko poor sana kuna sehem haishiki kabisa yaan inaenda hadi 0.0k/s hata whatsap haziingii text. Skype ndo ukiotea ndan ya 5sec inagoma nimejaribu kashai, miembeni, airport na hata kule bukoba club gymkhana bado ni ya kubahatisha. wadau wa bk naombeni mnambie mtandao gan afadhal maana nashindwa Kufany mengi kwa voda na halotel.