Programming Crew!

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,251
Baada ya muda mrefu kidogo nimeamua kurudi kwenye C++ ambayo niliisomaga Uni. lakini niliichukia sana kwa sababu mbalimbali:mad:.

Nimeanza na kitabu kinaitwa C++ Primer Plus (5th Edition).

Au copy/paste link.
amazon.com/Primer-Plus-5th-Stephen-Prata/dp/0672326973/ref=sr_1_1?ie=UTF8&s=books&qid=1247917903&sr=8-1

Mpaka sasa naweza kusema ni moja ya vitabu bora vya programming nilivyowahi kuvisoma, na naona chuki yangu ya C++ inayeyuka yenyewe.
 
Last edited:
I can say we share the same history, I never liked C++ back in uni but i happened to liked it few years back, but i never use it much so i just go to the books once in a while...
And thats a very good book. *** everythin its clear & less confusing ***

cheers
 
Kang,
Umenikumbusha jamani hakuna kipindi nilikua nakichukia kama hicho class,nami nitaanza taratibu sasa kuisoma inawezekana nikaipenda.
 
Baada ya muda mrefu kidogo nimeamua kurudi kwenye C++ ambayo niliisomaga Uni. lakini niliichukia sana kwa sababu mbalimbali

I can say we share the same history, I never liked C++ back in uni but i happened to liked it few years back, but i never use it much so i just go to the books once in a while...
And thats a very good book. *** everythin its clear & less confusing ***

cheers
uko ni wapi??

Mpaka sasa naweza kusema ni moja ya vitabu bora vya programming nilivyowahi kuvisoma, na naona chuki yangu ya C++ inayeyuka yenyewe.
na nyie ma programmer mnatuacha solemba........tufafafanulieni C++ ni kidudumtu gani?
 
if you are really a programmer you shouldn't proud yourself hating C & C++....if that then don't call yourself Computer geeks at all......by the way among the most simplest and interesting languages of computer these are.....Coming soon, I will release My application for "Hospital Management System" which i previously did it in vb6 but now I wanted to make more stable using C, C++ and Java all in one.
In short this application will be able to run in Windows and Linux since I have written it in Linux platform.....So I hope Guys it will help you to discover the importance of C,C++
 
mkuuu wewe mkali.......
 
C/C++ is a good language but it is requires one to be patient and careful. But things are getting better and better as the compiler are becoming much smarter and tools to develop in C/C++ are getting better.

But the one question that I always ask myself is that for the application I am developing is this the best and productive language I can use. It will be good is I can develop a web based application with LIPS, but it may take too much energy if its at all possible.

So I agree with all of you that C/C++ is a good language but it depends on what is being developed.
 
I prefer regarding computer programming languages as tools. Na ninabadili vifaa kuendana na kazi inayotakiwa kufanyika.

Kama nataka kuchanganya mchanga na zege, natumia chepeo. Nikila natumia kijiko. Kuingiza msumari kwenye mbao naweza kutumia jiwe, lakini nachagua kutumia nyundo kama ipo kwa sababu ya ufanisi. Naweza kwenda dukani kwa baskeli au na daladala. Lakini kwa sababu ni karibu sana, naenda kwa mguu.

Nadhani kuchagua kazi kuendana na kifaa ulichonacho inakupunguzia flexibility. Na nadhani ni vizuri zaidi kuchagua kifaa bora zaidi kwa kazi inayotakiwa kufanya.

Fungua upeo wako. Kuwa tayari kutumia kifaa chochote kitakachohitajika kumaliza kazi vizuri. Uwe tayari pia kujifunza kutumia vifaa ambavyo hujawahi kukutana navyo kabla kama the job at hand requires it. Na kama inabidi kutotumia kifaa kabisa, pia kuwa tayari kufanya kazi bila ya kifaa. :)

Bottom line, use what u consider to be the best tool for the job at hand.
 
uko ni wapi??

na nyie ma programmer mnatuacha solemba........tufafafanulieni C++ ni kidudumtu gani?

C++ ni lugha ya programming, yaani unaweza kuitumia kutengeneza programu za compyuta.

Sasa mmachohitaji ni nini? Vitabu au alternative programing language??
Mimi sihitaji kitu, ilikuwa ni kama general discussion thread.
 
C++ ni lugha ya programming, yaani unaweza kuitumia kutengeneza programu za compyuta.

Mimi sihitaji kitu, ilikuwa ni kama general discussion thread.

OK!!! Mimi nataka ku-develop software ambayo itatumia Bayesia Statistics/probability. Which language is better kwa hii kazi, Visual Basic au C++???
 
Have the C++ Book on the attachment.
 
Attachments

  • How to Program Using C++.pdf
    1.7 MB · Views: 516
if you are really a programmer you shouldn't proud yourself hating C & C++....if that then don't call yourself Computer geeks at all......by the way among the most simplest and interesting languages of computer these are.....Coming soon, I will release My application for "Hospital Management System" which i previously did it in vb6 but now I wanted to make more stable using C, C++ and Java all in one.
In short this application will be able to run in Windows and Linux since I have written it in Linux platform.....So I hope Guys it will help you to discover the importance of C,C++
Nilisoma VB6 mwaka 2001,tatizo sijapata muda wa kuifanyia kazi vya kutosha sijui unaweze nipa nafasi kupitia hiyo project yako!
 
OK!!! Mimi nataka ku-develop software ambayo itatumia Bayesia Statistics/probability. Which language is better kwa hii kazi, Visual Basic au C++???

Majibu utakayopata hayana tofauti na majibu utakayoyapata kutokana na mawali haya:

- Apples and Oranges, which ones are better?

- Nataka kwenda mbinguni/peponi. Dini ipi ndio nzuri kuendea huko, uislamu au ukristo?

How To Ask Questions The Smart Way
 
OK!!! Mimi nataka ku-develop software ambayo itatumia Bayesia Statistics/probability. Which language is better kwa hii kazi, Visual Basic au C++???

Zote zitakufaa ila ushauri wangu ni kama ifuatavyo.

Ninachoweza kusema ni kuwa Visual Basic .Net inakuruhusu kufanya vitu haraka zaidi, yaani jinsi ile Programming environment ilivyokaa vizuri (Visual Studio), inakuwezesha kufocus zaidi kwenye tatizo unalojaribu kutatua. Na pia kujenga User Interface nzuri ni rahisi zaidi kwenye VB.Net. Visual Studio inafanya vitu vingi "behind the scenes" kwa ajili yako.

C++ ni bora zaidi kama unataka kutumia resources za comptuta vizuri, ndo maana inatumika sana kwenye kutengeneza Games.
 
Back
Top Bottom