leh
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 827
- 369
nimechukua Visa TravelMoney card pale BancABC ya dollars na kuweka vijisenti. nilikamilisha kila kitu na nilipoenda nyumbani nikaunganisha card na PayPal. tatizo linatokea kwamba haikubali transactions zozote. nilifanya verification PayPal walikata $1.95 ila hawakurudisha. ni wapi ninapotea?
natanguliza shukrani
natanguliza shukrani