Haliishi lageuka 'halinunuliki', Vodacom Yashindwa

Haliishi lageuka 'halinunuliki', Vodacom Yashindwa

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,954
Reaction score
8,924
Takribani wiki mbili sasa nimekuea nahitaji hili rundo la Haliishi bila mafanikio. Mtandao wa Vodacom hapa Mmeniboa. Huduma kwa wateja hawapokei simu. Mmeshindwa vodacom.
 
Bando la haliishi la VODACOM bado lina shida ukinunua kwa Mpesa unaambia Transaction Cancelled.
 
Bando la haliishi la VODACOM bado lina shida ukinunua kwa Mpesa unaambia Transaction Cancelled.
Hata mm kwa mpesa inakataa ila ninachofanya nanunua kwa q*149*01# kisha kwenye kulipa nachagua mpesa,linakubali
 
Back
Top Bottom