Huawei Y330: Contact are stopped

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,561
Habari zenu wana JamiiForum.
Polen sana na majukumu.
Nina simu yangu Huawei model Y 330-U110.
Tatizo lake nikitaka kuangalia majina au kuweka vocha yaan nikibongeza application ya CONTACT inaniambia CONTACT ARE STOPPED sasa yapata miezi 3 .
Je tatizo nini naomba mnisaidie wataalamu.

Asanten
 
nenda settings kisha tafuta applications manager na utakutana na dowloaded apps then move kulia hadi upate all.. shuka chini tafuta contacts au huenda ikawa ktk mfumo wa com.android.contacts na uifungue hyo kisha shuka chini tafuta clear data na pia papo hapo tafuta clear cache then restart cmu.. ulete mrejesho ili km imefeli nikupe next solution kabla hatujafika kwenye flashing
 
Imefeli mkuu 2991
 
fuata same procedure bt this tym badala ya kuclear data na cache, this tym click FORCE STOP then restart.. mrejesho muhimu
 
Habari zenu wana JamiiForum.
Polen sana na majukumu.
Nina simu yangu Huawei model Y 330-U110.
Tatizo lake nikitaka kuangalia majina au kuweka vocha yaan nikibongeza application ya CONTACT inaniambia CONTACT ARE STOPPED sasa yapata miezi 3 .
Je tatizo nini naomba mnisaidie wataalamu.

Asanten
Upo wapi dar au
 
inabidi kuflash cmu yako (re-installation of rom/os).... nadhani km upo dar kuna mafundi lukuki na hyo kazi yako haitozidi elf10 kwahyo huna haja ya kujitesa
 
Mkuu kuna jamaa yapata miezi kadhaa imepita alkwisha kutoa solution ya hilo tatzo la huawei kua inafanya hivyo ''unfortunately android has stopped'' na mengne yanayofanana na hayo tafuta kwa kutumia search humu humu nyuzi za nyuma kidogo kama vipi huo ugonjwa wa simu yako uutibu ww mwenyewe kwa kutumia PC tu hakuna haja ya kwenda kwa fundi.
 
fanya hii in ur own risk... tafuta kitu inaitwa ROOT UNINSTALLER APK na install kwenye cmu yako halafu uifungue kisha scroll utafute hyo application inayocrush na kisha UNINSTALL hyo application kama ni phone au contacts.. baada ya ku uninstall cmu yako itakuwa haina phone km uli uninstall phone na itakosa contacts km uli uninstall contacts na kisha jst tafuta custom PHONE/CONTACTS apk
 
Back
Top Bottom