Innocenthezron
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 393
- 472
Habari wana jamii..... Nina tatizo hapa wiki iliyopita pc yangu ilikua nikiiwasha inaandika no bootable device nikaweka fresh hard disk ikawaka sasa wakati nafunga bahati mbaya ile hard disk ikaanguka nilipoichukua kuiweka pc ilikua inaandika acer basi hakuna kinachoendelea.... Na baadae ikaandika no bootable device mpk leo hii.... Msaada hapa
- Kama hard disk imekufa mpya naweza kuipata kwa bei kiasi gani?
- Inawezekana ku run pc bila hard disk kwa kutumia cd au usb flash yenye necessary programmes?
- Inawezekana kuchukua hard disk kutoka kwenye PC isiyotumika na kuitumia mm kama yes how na complications gani naeza kutana nazo????