bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,959
Accoint wanakataa kuipitisha sababu iko related na another recently approved account.wameniwekea na email address kabisa ya hiyo account.Nafanyaje wakuu?
km iyo email sio yako ipige chini iyo then fungua nyingine kwa majina tofauti na ya mwanzoAccoint wanakataa kuipitisha sababu iko related na another recently approved account.wameniwekea na email address kabisa ya hiyo account.Nafanyaje wakuu?
badilisha e-mailAccoint wanakataa kuipitisha sababu iko related na another recently approved account.wameniwekea na email address kabisa ya hiyo account.Nafanyaje wakuu?