Nimeamua kuleta Trackers Tanzania nitaziuza kwa yoyote anayetaka.
Nichombo kidogo tu uanaweza kukishona kata kwenye belt ya Surrualia. Kinatumia GPS, kwa hio kwa kutumia Smartphone Mtu yoyote anaweza kukutrack na kujua uko Numba gani umefichwa.
Bei itakuwa 80000 Tsh. Anayetaka aseme June zitafika Tanzania