Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,693
wadau nina simu yangu nlichukua kwa mtu ni iyo tajwa apo juu sasa ikawa hai run 3G nkaamua ni hard reset sasa balaa lake ni kwamba after hard reset ku reboot simu ikawa inadai previusly email sync with device na mm siijui na simu haiendelei mbele zaidi ya hapo sasa wataalamu wenzangu tusaidiane hili tatizo tunalitatuajee ili niendelee kutumiaa simuu