Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

TAFADHALI WATAALAMU MLIOMO HUMU, NAOMBA MUONGOZO JINSI YA KUTUMIA ROUTER KWA SMART TV,.. JE, NIKIWA NA ROUTER PEKEE INATOSHA? AMA HADI NIUNGE NA MODEM? NA KAMA NDIVYO, KWAMBA NI LAZIMA NIWE NA...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Jamani Samsung S8 ishafika kweli bongo maana nmehangaika sana kuitafuta madukani nimeenda nakuta zimejaa s7 na s7 edge Tu!!" Anaejua wapi niende duka ambalo nikienda ntapata kwa Dar es Salaam.
4 Reactions
71 Replies
7K Views
Habari zenu wana tech wenzangu me naitwa hancy designer na Nina channel yangu inayouitwa HANCY TV nilikua nahitaji kupata views kwenye video zangu kwaiyo naombe msahada wenu nimejalibu Google...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu Nataka kununua smart phone yenye uwezo wa kudumu na charge kwa muda mrefu ukiachilia mbali maTECNO na maItel naomba ushauri ninunue simu ipi?
6 Reactions
36 Replies
6K Views
Nilinunua Lumia 635... Nika update to windows 10, mimi ni mpenzi wa twitter sana Windows phone nyingi hazina twitter nzuri in terms of GUI huwez kuona retweets za watu vizur Windows phone...
0 Reactions
3 Replies
803 Views
Shtorm carrier, known as Project 23E000E, is Russia's next military upgrade Vessels will be the size of three football fields and cost up to $17.5billion each Will carry 90 aircraft and be...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama heading ilivyosema natafuta tutor wa lugha hio ani pm pia taja bei unayolipisha kwa masaa au siku
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakubwa naomba kwa yule mwenye kuwahi kuicheza hii game anifahamishe "SURVIVAL ISLAND: Hero escape". Yaani kila nikijaribu kujikoki wapi naambulia patupu, ndo kwanza nipo awamu ya kwanza kwenda...
0 Reactions
7 Replies
867 Views
✍️
1 Reactions
3 Replies
726 Views
Color: Grey (unlocked), location: Arusha City, Storage Capacity: 128 GB, Condition: Used, No scratches, Just as new. Comes with Charger and Earphones. Price: 1,400,000 inbox me
1 Reactions
1 Replies
815 Views
wadau naomba kujulishwa kuhusu ubora na mapungufu ya simu ya Samsung Galaxy S7 edge kwa waliobahatika kuzitumia maana ninaipenda sana na nina mpango wa kuinunua katikati ya mwezi May 2017 Mungu...
0 Reactions
59 Replies
9K Views
Habari, i hope mko good. Kuna kitu kinanisumbua sana, yan kila nkiapload picha Facebook inakuwa kam inapungua ubora na muonekano wake,.. kwa yoyot anaejua mambo hizi namn ya kutatua hii...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari hiyo ni app store ambayo unaweza pata app zote zinazouzwa play store buuuure kabisa...!! Amna haja ya kuroot simu yako inafanya kazi Hata usiporoot. Mfano cheki hapa Game...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu salama? Desktop yangu imekufa na haina namna ya kurekebisha isipokuwa kutafuta nyingine au kupata motherboard. Ni workstation dell precision T 5500. Msaada wenu tafadhali. Na kama ipo...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Naitumia sana internet ya Ofa Kabambe (Fantastic Offer) ya Airtel kwenye *150*60# option 6. Lakini kitu cha ajabu kabisa ni kwamba malipo ya kifurushi hiki hukatwa kwenye akaunti ya airtel money...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za Asubuhi wana JF natumaini wote mko salama, leo kwa mara ya Kwanza napenda Kutambulisha Kwenye Akaunti hii ya Tanzania Tech ambayo itakuwa ikitoa mafunzo na habari mbalimbali za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari za asubuhi rafiki zangu. naombeni mnisaidie, mimi natumia email yenye domain ya gmail. mara nyingi natunza mafaili mbalimbali kwenye drive ya email. jana nimefungua ili kuangalia lakini...
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Cm Yangu imeniletea hvo jamani naombeini msaada wenu chief mkwawa na wenginee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Msaada kwenye tuta wadau, Nimeshindwa kuweka google account au kuingia playstore baada ya kufanya factory setting kwenye simu ya android. Error ni " couldn't sign in - can't establish a reliable...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi! Kwa kutambua hili ni jukwaa husika, naomba watu waliokuwa wazoefu katika fani mbali mbali za kihandisi kutupatia shuhuda zao kuhusu fani walizosomea, na kukiri kuwa...
1 Reactions
2 Replies
735 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…