Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
Naitumia sana internet ya Ofa Kabambe (Fantastic Offer) ya Airtel kwenye *150*60# option 6.
Lakini kitu cha ajabu kabisa ni kwamba malipo ya kifurushi hiki hukatwa kwenye akaunti ya airtel money badala ya kwenye muda wa maongezi. Kwa maneno mengine huwezi kujiunga na kifurushi hiki kama huna fedha kwenye akaunti yako ya airtel money.
Halafu kingine cha ajabu ni kwamba bei ya kifurushi (gb1 kwa elf kwa siku mbili) unakatwa 1050!
Nawauliza airtel: Kwa nini malipo ya kifurushi hiki yasilipwe kwenye muda wa maongezi? Kwa nini ni airtel money?
Pili, tangazo lasema kifurushi ni sh 1000.
Lakini kwa nini mnakata 1050?
Nataka kuwakimbia lakini sina jinsi, najiunga kwa unyonge kwelikweli!