Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Habari za Asubuhi wana JF natumaini wote mko salama, leo kwa mara ya Kwanza napenda Kutambulisha Kwenye Akaunti hii ya Tanzania Tech ambayo itakuwa ikitoa mafunzo na habari mbalimbali za Teknolojia. Kwa wale ambao bado hamfahamu Tanzania Tech ni Tovuti ya Habari na Mafunzo ya Teknolojia ambayo inatoa habari na mafunzo hayo ya teknolojia kwa lugha hadhimu ya kiswahili nina penda kukwakaribisha wote kuitembelea Tovuti yetu.
Vilevile kama kutakuwa na maoni ushauri au hata maswali mbalimbali napenda kuwakaribisha wote kuuliza maswali hayo, napenda kuchukua nafasi hii na kuwakaribisha wote kwenye mbio hizi za kuelimisha dunia kuhusu teknolojia.