Wakuu;
Ningependa kuelekezwa namna ya kuzigeuza videos kutoka MP4 kwenda AVI. Napenda kuplay video kwny DVD player bt kuna baadhi huwa zinagoma, so help me pliz.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nataka kujua ni sifa gani nitazingatia,ninapotaka kununua LAPTOP kwa ajili ya GAMES
Nataka nijue sifa (Specification) ya laptop kwa ajili ya games...
Wadau habari zenu!
Naomba mnisaidie hapa, nikihifadhi (save) video za YouTube offline huwa zinachukua nafasi ya kwenye memory card au internal storage? Au zinakaa hewani kama ilivyo kwenye...
habari wadau.....
kuna uzi uliletwa humu JF unaelezea namna ya kusoma sms za simu 5o kwa kutumia
gmial... mwenye link ile anisaidie ili niweze kusoma sms za mpenzi wangu coz I think smtn iz...
Kwanza niwashukuru sana wadau wa JF naweza sema sehemu kubwa ya taaluma yangu nimegain kutoka JF,naweka mezani tena hili nawezaje pata decoder za canal sports na nawezaje kuwa nazilipia?
Wakuu na wataalamu wa Teknohama msaada tafadhari.
Laptop {Lenovo} lenovo Ilizima ghafla. Chaji inaingia lakini ukiwasha hakuna chochote kinachoendelea. Cha ajabu kuna wakati mara mojamoja sana...
Habari zenu wanajaamii.
Kwa wale wenzangu mlio vizur katika android development.
Naomba msaada kwa mwenye ujuz wa namna ya kuwasiliana kati ya fragment mbili au zaidi (fragment communication) kwa...
Hi
Je wajua kuwa atomic bomb ni bomb lililotengenezwa kutokana na mzozo wa kanuni za fizikia uliotekea miaka ya 1930
Mwanasayansi Albert Einstein akiwa katika hali ya masihara alivumbua kanuni...
Mnaotarajia kununua ps4 ila mna TV zile cable za rangi tatu msije mkaingia hasara bure due to lack of awareness
Play station 4 saizi inatumia teknolojia ya h.d.m.i cable kuunganisha ps4...
Wakongwe tumekuwa tukiona watu wengi wakianzisha app zao na kuziuza.. Kuendana na mabadiliko ya teknolojia..
Ndio maana Kelvin wa instagram alianzisha instagram na ndani ya mwaka mmoja aliiuza 1...
Simu nying latest hasa zinazotumia operating system za android, windows mobile hazitumii ip address na pronxy katika kuset internet. Hizi simu zinatumia access point tu ambayo ni internet then...
ni topic ya form three na hyo maswal ymenishnda na naamin kuwa kuna mmbers genious humu who can help me
unaweza ukalifanyia pmben then ukapiga pcha ukatuma
thank u kwa kutumia mda wko...
NUNUA SMARTPHONES MPYA NA ORIJINO KWA BEI RAHISI KUPITIA SMARTPHONES TANZANIA – Original Smartphones at lower prices
WEKA ODA YAKO NA UTALETEWA POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM PIA MIKOANI TUNASAFIRISHA
window disk inaonesha imejaa, nimejaribu kufuta vitu vyote vilivyopo kweny window lakini bado rang nyekundu haitoki. naombeni mnielweshe nini cha kufanya?
natanguliza shukran
cc Chief-Mkwawa.
Nimeshangaa nilipitia gallery ya iPHONE 7 pale GSM ARENA na kukuta hiyo picha yenye 3.5mm audio Jack. sasa swali ni kwamba hii imamaanisha GSMArena hawatumii official images kutoka Apple au huwa...
Wakuu habar za mida, nimewasha pc yangu DELL LATITUDE E6410 imeniletea ujumbe huo(kwenye picha) , nimejaribu kurun onboard diagnostic lakini sijapata majibu tatizo lipo wapi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.