Msahada jinsi ya kupata views wengi kwenye youtube for free

Mar 25, 2017
40
17
Habari zenu wana tech wenzangu me naitwa hancy designer na Nina channel yangu inayouitwa HANCY TV nilikua nahitaji kupata views kwenye video zangu kwaiyo naombe msahada wenu nimejalibu Google keyword lakini lakini no lazima ulipie naombeni msahada kama kutakuwa kuna njia nyingine
 
Jaribu kuandika vichwa vya habari vinavyovutia...
Kiujumla biashara za mitandaoni ni uwekezaji wa muda mrefu...
Tupia video mara kwa mara ukiweza zaidi ya video 10 kwa siku...video hizo ziwe mpya kabisa ambazo huko youtube hakuna mtu ambaye ameshawahi kuiweka...
 
Sasa una video 6 less than 2 days old unategemea kupata views kiasi gani? Ni kazi ya miezi au hata miaka kujenge subscribers wa kutosha. Tena nimeona video zina logo za watu wengine, kuna hatari ya channel kufungwa kabisa.
 
Sawa kaka eddy
 
Jinsi gani naweza kuweka copyright yangu
 
Ungejifundisha kwanza kuandika huo ungekuwa msaada mkubwa sana kwako kupata viewers.
 
Msahada huwezi ukapata.
Ila msaada utapata.

Skia Ninawasiwasi na jinsi ya uandishi wako,yamkini hata heading unazotumia kwny video ulizo upload hazivutii.
Kwa sababu ya uandishi Mbovu.
Jifunze vya muhimu (Uandishi)kabla ya hiki unachokitaka(viewers)
utafanikiwa .
Kila la heri
 
Hiyo channel inahusika na nini? Umelenga watu gani? Unatumia njia gani kuipromote? Unavitu vya kuvutia ili mtu aache kwenda kwa millardayo, gwajima,global tv,joti tv aje kwako?
Fanya utafiti mkubwa kuona hawa wenye subscribers wengi hapa bongo wamemiss nini kisha ukiweke kwako chamsingi ubunifu unahitajika sana.Na pia chagua theme ya channel yako kama ni michezo,udaku,breaking news,siasa,biashara, uhamasishaji,teknolojia,nk kisha ustick na moja kwa nguvu zote.
Ushauri wangu mdogo ndo huo wapo,subiri wajuzi waje.
 
Nielekeze kido bas
 
Nilikua nataka niulize, hivi YouTube wanalipa kuanzia viewes ngapi
 
Back
Top Bottom