mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 613
Habari zenu wakuu
Nataka kununua smart phone yenye uwezo wa kudumu na charge kwa muda mrefu ukiachilia mbali maTECNO na maItel naomba ushauri ninunue simu ipi?