Msaada: Kuapload picha yenye Ubora FACEBOOK

Black7

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
367
115
Habari, i hope mko good.

Kuna kitu kinanisumbua sana, yan kila nkiapload picha Facebook inakuwa kam inapungua ubora na muonekano wake,..

kwa yoyot anaejua mambo hizi namn ya kutatua hii changamoto basi anifahamishe, hadi nmesusa kupost sku hizi, mana picha zangu zinaonekana mbovu mbovu wakati camera ya simu yangu ipo vizuri.
 
katafute kamera HD sio hiyo ya simu yako
Natumia Camera ya App vile vle cm yng ina uwezo mkubw, Samsung Galaxy Mega tena bonge la sim ht nkichukua pic tok kwa mwngnr ninapotak kuapload tu ina decrease quality inakuw na quality tofaut na original photo,
 
inasemekana facebuk wanapunguza quality ya picha na size yake ili website yao iwe nyepesi kufunguka
 
Inawezekana pic zako zina mb kuanzia 6 hiyo ni lazima fb waipunguze ifike had mb 3
 
Back
Top Bottom