Natafuta motherboard

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,090
2,000
Wakuu salama? Desktop yangu imekufa na haina namna ya kurekebisha isipokuwa kutafuta nyingine au kupata motherboard. Ni workstation dell precision T 5500. Msaada wenu tafadhali. Na kama ipo naombeni na bei pia
 
jT0078

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
276
250

Processor inatumia aina gani?
 
Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,090
2,000
Processor inatumia aina gani?
Ni intel xeon processor kama sijakosea. Pia kama haitapatikana, kwa utaalam wako ni desktop gani naweza kuitumia kama mbadala wa hii dell. Nimeambiwa naweza kutoa graphics card, ram na hdd na kupachika kwenye desktop nyingine yoyote
 
RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
16,603
2,000
Ni intel xeon processor kama sijakosea. Pia kama haitapatikana, kwa utaalam wako ni desktop gani naweza kuitumia kama mbadala wa hii dell. Nimeambiwa naweza kutoa graphics card, ram na hdd na kupachika kwenye desktop nyingine yoyote
Na dvd writer.
Mimi yangu ilipata shida nikapa core 2 quad. Nikamwambia atoe vitu kama ram,hdd na dvd writer kisha tukaongea bei. Nilivorudi home vitu vilivyokuwa kwenye desktop ya kwanza nikavihamishia kwenye ii mpya.
 
jT0078

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
276
250
Wakuu salama? Desktop yangu imekufa na haina namna ya kurekebisha isipokuwa kutafuta nyingine au kupata motherboard. Ni workstation dell precision T 5500. Msaada wenu tafadhali. Na kama ipo naombeni na bei pia
Nikuuzie Motherboard ya Dell Optiplex 7010, ina processor ya Intel core i7-3.4ghz. Nichek 0718 290779
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,083
2,000
Ni intel xeon processor kama sijakosea. Pia kama haitapatikana, kwa utaalam wako ni desktop gani naweza kuitumia kama mbadala wa hii dell. Nimeambiwa naweza kutoa graphics card, ram na hdd na kupachika kwenye desktop nyingine yoyote
mkuu inabidi uangalie compatibility mfano huwezi eka ddr2 ram kwenye motherboard ya ddr4, huwezi eka hdd ya sata kwenye motherbiard ya ide, huwezi eka cpu ya 4th gen kwenye motherboard ya 6th gen xeon etc.

cha kwanza ungetaja full name ya hio xeon kama unaijua hapa ungepunguza kazi,

nimeigoogle hio workstation inaonekana kama inatoka enzi za 1st gen,
 
Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,090
2,000
mkuu inabidi uangalie compatibility mfano huwezi eka ddr2 ram kwenye motherboard ya ddr4, huwezi eka hdd ya sata kwenye motherbiard ya ide, huwezi eka cpu ya 4th gen kwenye motherboard ya 6th gen xeon etc.

cha kwanza ungetaja full name ya hio xeon kama unaijua hapa ungepunguza kazi,

nimeigoogle hio workstation inaonekana kama inatoka enzi za 1st gen,
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu japo mi si mtaalam sana wa kompyuta software na hardware zake. Kesho nitaicheki pamoja na kuipiga picha niiweke hapa. Pia utanishauri kuhusu proposal ya jt0078 hapo juu kama nifanye mchakato wa kuitumia hiyo
 
scooman

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,028
2,000
Wakuu salama? Desktop yangu imekufa na haina namna ya kurekebisha isipokuwa kutafuta nyingine au kupata motherboard. Ni workstation dell precision T 5500. Msaada wenu tafadhali. Na kama ipo naombeni na bei pia

Hiyo Board ni ya akina mama boss
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,083
2,000
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu japo mi si mtaalam sana wa kompyuta software na hardware zake. Kesho nitaicheki pamoja na kuipiga picha niiweke hapa. Pia utanishauri kuhusu proposal ya jt0078 hapo juu kama nifanye mchakato wa kuitumia hiyo
changamoto ya motherboard zinazokuja na desktop ni power supply, kama atakusaidia kupata power supply ambayo ni compatible na hio motherboard ni deal nzuri sababu nimecheki hapa i7 inayokuja na optiplex 7010 ni i7 3770 ambayo ina nguvu kama mara mbili ya xeon yako.
 
Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,090
2,000
changamoto ya motherboard zinazokuja na desktop ni power supply, kama atakusaidia kupata power supply ambayo ni compatible na hio motherboard ni deal nzuri sababu nimecheki hapa i7 inayokuja na optiplex 7010 ni i7 3770 ambayo ina nguvu kama mara mbili ya xeon yako.
551818645609c5c9e71fe6b38d7125ff.jpg

Hii inaweza kutoa mwanga?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom