Ushuhuda wa mafundi na wahandisi

Ushuhuda wa mafundi na wahandisi

Norton82

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,192
Reaction score
1,076
Habari zenu wana jamvi!

Kwa kutambua hili ni jukwaa husika, naomba watu waliokuwa wazoefu katika fani mbali mbali za kihandisi kutupatia shuhuda zao kuhusu fani walizosomea, na kukiri kuwa hawajutii kusoma fani husika kwa kuwa zimeleta mabadiliko makubwa katika maisha yao, na si vibaya wakitufahamisha fani husika na maeneo waliyosomea, ili iwe kama muongozo kwa tunaotaka kuingia katika fani ya uhandisi na ufundi kwa ujumla, kulingana na mustakabali wa nchi yetu ya Tanzania, shukraan na karibuni kwa shuhuda zenu.
 
Back
Top Bottom