Naombeni msaada wenu wana JF

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,089
2,199
habari za asubuhi rafiki zangu.

naombeni mnisaidie, mimi natumia email yenye domain ya gmail. mara nyingi natunza mafaili mbalimbali kwenye drive ya email. jana nimefungua ili kuangalia lakini nimeona hakuna kitu. nimejaribu kuangalia kwenye trash kama nilifuta kwa bahati mbaya lakini hakuna mafaili. kaka na dada zangu naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kurudisha haya mafaili yalipotea gafla. natanguliza shukrani

CC cheaf mkwawa
 
Back
Top Bottom