Twitter Ya Windows Phone

TheCrazy Mchokozi

Senior Member
Apr 7, 2017
180
251
Nilinunua Lumia 635...
Nika update to windows 10, mimi ni mpenzi wa twitter sana

Windows phone nyingi hazina twitter nzuri in terms of GUI
huwez kuona retweets za watu vizur

Windows phone wanahitaji marekebisho kwenye
instagram
twitter

Pia Jamii Forums Sikuipata Kwenye Store Zao
 
kama unataka utumie vizuri win 10 ya simu/win phone achana na official apps tumia 3rd party apps,

kwa tweeter test app hizi
-metweet
-mehdoh
-peregrine
-tweet it

angalia nzuri then tumia

kwa instagram tumia app ya rudd hyun inaitwa 6tag
 
Twiter n kweli hao jamaa wanazingua ila instagram mm jinavyojua wana instagram nzur sana ambayo hio hio unaweza kudownload picha video na vitu vng vya ziada
 
kama unataka utumie vizuri win 10 ya simu/win phone achana na official apps tumia 3rd party apps,

kwa tweeter test app hizi
-metweet
-mehdoh
-peregrine
-tweet it

angalia nzuri then tumia

kwa instagram tumia app ya rudd hyun inaitwa 6tag
Asante Mkuu....
 
Back
Top Bottom