essiey Member Jul 29, 2016 57 46 Apr 26, 2017 #1 Kama heading ilivyosema natafuta tutor wa lugha hio ani pm pia taja bei unayolipisha kwa masaa au siku
Kama heading ilivyosema natafuta tutor wa lugha hio ani pm pia taja bei unayolipisha kwa masaa au siku
MpiganiaUhuru JF-Expert Member Mar 31, 2012 777 912 Apr 26, 2017 #2 Raspberry pi aka 'Pi'. Mi sio mwalimu ila nnazo, nazitumia, ukizihitaji just tell me!
Mwelewa JF-Expert Member Jan 5, 2011 2,343 3,283 Apr 26, 2017 #3 Aisee najifunza python mwenyewe through online tutorial. It's a slow process and I have to apply my self 100% Bila shaka utapata mwalimu na somo litakuwa rahisi.
Aisee najifunza python mwenyewe through online tutorial. It's a slow process and I have to apply my self 100% Bila shaka utapata mwalimu na somo litakuwa rahisi.