Wakubwa naomba kwa yule mwenye kuwahi kuicheza hii game anifahamishe "SURVIVAL ISLAND: Hero escape". Yaani kila nikijaribu kujikoki wapi naambulia patupu, ndo kwanza nipo awamu ya kwanza kwenda kutua kisiwani.
Utafanya kazi 24 hours??Hizi nguvu zingeelekezwa kwenye kufanya kazi?
Ukiwa likizo ndio kipindi cha kufanya utalii/ mipango mingine mbali nauliyokua nayo.nipo likizo mkuu.
Mimi mbona jamiiforums naingia mara nyingi kwa siku moja, yaani kuna majukwaa 4 hivi, hayo huwa kila nyuzi lazima niipitie na points zote za wadau. Kazini nazingatia shifts zangu na nikirudi home natafuta pesa nikiwa dukani while naingia jf.Hizi nguvu zingeelekezwa kwenye kufanya kazi?