Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 547
- 552
wadau naomba kujulishwa kuhusu ubora na mapungufu ya simu ya Samsung Galaxy S7 edge kwa waliobahatika kuzitumia maana ninaipenda sana na nina mpango wa kuinunua katikati ya mwezi May 2017 Mungu akinijalia uhai....natanguliza shukrani!!!