Duka gani naweza kupata Samsung S8 Dar?

hiyo simu bado haijafika bongo hadi mwezi wa tano/sita

pia hiyo simu imeshaannza kuzingua display inajikoleza rangi nyekundu na ndio maana wateja wake huko korea wameshaanza kuzirudisha madukani,note 7 ilikuwa inalipuka ikazuiwa isiuzwe duniani.ebu subiri kwanza simu zenye akiliii kama nokia 9 na iphone 8 zitoke ndipo ufanye chaguzi
 
S8 inaanza kuingia sokoni ter 21 mwez huu, na ni kwa euope, korea na marekani ,bongo sijajua, ila inachelewa km nusu mwez hivii
 
Iphone hazina burudani kama andros zimejaa masharti kibao
Tengeneza simu yako na OS yako uwe free utakacho usidhani Nougat ipo free kama hizi jelybean, kitkat, lolipop ama marshmallow kwa mbali watu walioanza kucheza na android zikiwa version za Jellybean, kitkat na lolipop kidogo walifaidi sana
sasa hivi kuna error nyingi sana kuchokonoa simu watu wengi wameacha
 
Jamani Samsung s8 ishafika kweli bongo maana nmehangaika sana kuitafuta madukani nimeenda nakuta zimejaa s7 na s7 edge Tu!!" anaejua wapi niende duka ambalo nikienda ntapata kwa dar es salaam
Ikishindikana kabisa kwa hapa Dar, hizi Samsung S8 na Samsung S8+ , waweza agiza online zipo, Click spoiler
Ingia hapa AMAZON Amazon.com: samsung galaxy s8: Cell Phones & Accessories au hapa EBAY samsung galaxy s8 | eBay

Taratibu za manunuzi ziko hapa: www.v.ht/buy4me
 
Bado haijafika,
Nina swali ...ni apps gani au camera gani za cm wanazotumia watu kujipiga picha mwenyewe full huku akiwa ameshikilia cm.? Yan kwenye picha unaona cm yake kwa nyuma
 
Yan kwenye picha unaona cm yake kwa nyuma
Bia shaka picha huwa inapigwa ukiwa umesimama mbele ya kioo kikubwa

Ili picha itoke vizuri
- hakikisha kuna mwanga wa kutsha
- Usitumie flash - weka off
upload_2017-4-20_5-2-24.png

upload_2017-4-20_5-4-45.png

Nina swali ...ni apps gani au camera gani za cm wanazotumia watu kujipiga picha mwenyewe full huku akiwa
 
hiyo simu bado haijafika bongo hadi mwezi wa tano/sita

pia hiyo simu imeshaannza kuzingua display inajikoleza rangi nyekundu na ndio maana wateja wake huko korea wameshaanza kuzirudisha madukani,note 7 ilikuwa inalipuka ikazuiwa isiuzwe duniani.ebu subiri kwanza simu zenye akiliii kama nokia 9 na iphone 8 zitoke ndipo ufanye chaguzi

Acha uongo wewe! Hiyo simu bado haijaingia sokoni
 
hiyo simu bado haijafika bongo hadi mwezi wa tano/sita

pia hiyo simu imeshaannza kuzingua display inajikoleza rangi nyekundu na ndio maana wateja wake huko korea wameshaanza kuzirudisha madukani,note 7 ilikuwa inalipuka ikazuiwa isiuzwe duniani.ebu subiri kwanza simu zenye akiliii kama nokia 9 na iphone 8 zitoke ndipo ufanye chaguzi
habari za display kuzingua umezipata wapi tena boss mbona unanishtua
 
hiyo simu bado haijafika bongo hadi mwezi wa tano/sita

pia hiyo simu imeshaannza kuzingua display inajikoleza rangi nyekundu na ndio maana wateja wake huko korea wameshaanza kuzirudisha madukani,note 7 ilikuwa inalipuka ikazuiwa isiuzwe duniani.ebu subiri kwanza simu zenye akiliii kama nokia 9 na iphone 8 zitoke ndipo ufanye chaguzi
Mkuu acha kupotosha umma. S8 haina tatizo la rangi na ni sibu bora sana na imekaa vizur im design kuliko samsung zote nilizowah kuwa nazo. Huwezi kuicompare na iphone 7.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom