Ads cover my screen

kipusy

JF-Expert Member
May 7, 2010
639
323
Jaman kuna ads zinakuja zinakaa kwenye screen yangu kisha hazitoki jumla mpaka ni restart simu yangu, mfano wake hii picha
1c20b8673adff43ff5886f936d78babb.jpg
1bab047f305461cc3a876e13b2ca38c8.jpg
 
Kuna apps ya kijingajinga umeinstal ndo inazingua hivyo ingia Application manager uninstalla apps ambayo unaona ni mpya kwako au ambazo hazina ishu
 
Back
Top Bottom