Jinsi ya kununua chaji ya simu

Jinsi ya kununua chaji ya simu

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,158
Reaction score
14,713
Nimekuwa nikihangaika sana nikinunua simu na charger yake hasa hizi mnazoita smatphone ndo napeta kitu kinacharge 30 min uko 100% ,sasa nikipoteza tuuu ukilaza wangu unaanza ninyanyasa mwanzo nilijidanganya kununua machata makubwa huawei sumsung etc holaaa badae nikahamia kununua za bei kubwa nkapata charger ya infinix wakaniuzia 32,000 kutumia nusu saa inacharge 10% nikaenda duka lingine nikaikuta ile ile charger bei 8,000 tena pungufu naongea ,kichwa kikalia ngwiii nikajua mimi ni kama wale maprofesa wa makinikia (natania) sasa wakali wangu nipeni ufundi nafanyaje kupata charger inayoijaza simu ya smartphone kwa spidi kali '
Hili linatusumbua vilaza wengi najua!
 
Chaji halisi ni ile inayokuja na simu.
Mfano, chaji ya HTC halisi inachaji vizuri Simu ya Samsung ili mradi ziwe zina pini inayofanana.
Chaji za dukani ambazo zimetengenezwa kipekee, yaani zimetengenezwa kwa kuuzwa peke yake bila simu, karibu zote sio nzuri.
Hivyo basi ukitaka chaji nzuri tafuta iliyokuja na simu halisi.
Kuna watu wamepoteza simu zao au zimeharibika au zimeibiwa na wakabaki na chaji zake, basi uzitafute hizo.
Zitakufaa.
 
Ungetaja na aina ya smartphone, watu wangekushauri aina ya chaji kuendana na simu yako.
 
0dd0d289d6d792b19a21d055b50fa2bc.jpg
 
ujue ttizo mkienda kununia charger kuna vitu huwa hamuangalii
kitu muhimu cha kuangalia
jitahidi kujua betri yko ina Amperes ngpi
na je hyo unayo hyo charger ina Amperes ngpi
Infinix ina betri kubwa sana so lazima Amperes ziwe kubwa ila ukitumia baada ya mida IC zinakufa
 
kuna chaja za aina mbili unazoweza kutafuta
-chaja ya fast charging kama simu yako inakubali
-chaja yenye amps nyingi kwa simu mara nyingi inakuwa 2A

nenda playstore download app inaitwa ampere ukifika dukani test chaja hapo hapo, hakikisha chaja inakupa 1000mA kuendelea ujue ndio nzuri.

zipo chaja za oraimo zinauzwa 8000 Aggrey ni nzuri zinatoa umeme mwingi, though quality yake ni ya kichina.
 
Nimekuwa nikihangaika sana nikinunua simu na charger yake hasa hizi mnazoita smatphone ndo napeta kitu kinacharge 30 min uko 100% ,sasa nikipoteza tuuu ukilaza wangu unaanza ninyanyasa mwanzo nilijidanganya kununua machata makubwa huawei sumsung etc holaaa badae nikahamia kununua za bei kubwa nkapata charger ya infinix wakaniuzia 32,000 kutumia nusu saa inacharge 10% nikaenda duka lingine nikaikuta ile ile charger bei 8,000 tena pungufu naongea ,kichwa kikalia ngwiii nikajua mimi ni kama wale maprofesa wa makinikia (natania) sasa wakali wangu nipeni ufundi nafanyaje kupata charger inayoijaza simu ya smartphone kwa spidi kali '
Hili linatusumbua vilaza wengi najua!
Hahahah hili ni janga..

Kwa mimi huwa natest dukani hapo hapo naangalia kama dakika tano hivi kama inaingiza fasta nitagungua ila dakika tano zimepita hata asilimia moja haijapanda najua kimeo.

Vile vile chaja inayochaji simu yangu fasta inaweza isichaji simu yako fasta.

Maduka mengi ukienda kichwa kichwa wanakuliza.

Suala lingine ni waya wa usb ktk chaja kuharibika upesi wenye kujua chanzo mtujuze.. muda mwingine waya ulioutumia ku-connect kwenye computer kwa zaidi ya miezi mitatu ghafla unakuta hausomi ila unaingiza chaji tu kwenye simu shida inakuwa ni nini. Nimebadili waya za usb mara nyingi sana lakini baada ya muda yanajirudia yale yale.
 
Hata mm nilisumbuka nikitumia smat phone natumia lg nikiweka chaj yoyoye wananiletea ujumbe use original chager au wamasema chaj faster use uriginal chager. Ila wala sina habar nayo naweka ikijaa natumia
 
kuna chaja za aina mbili unazoweza kutafuta
-chaja ya fast charging kama simu yako inakubali
-chaja yenye amps nyingi kwa simu mara nyingi inakuwa 2A

nenda playstore download app inaitwa ampere ukifika dukani test chaja hapo hapo, hakikisha chaja inakupa 1000mA kuendelea ujue ndio nzuri.

zipo chaja za oraimo zinauzwa 8000 Aggrey ni nzuri zinatoa umeme mwingi, though quality yake ni ya kichina.
Unajuaje kua simu yako inakubali kutumia fast charger
 
Back
Top Bottom