Nahitaji software inayotumika kutengeneza vitambulisho kwa kutumia kadi ngumu (smart card)

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
611
727
Amani iwe kwenu
Nimewekeza kwenye biashara ya stationery kiasi fulani inalipa ,ila nataka kujitanua zaidi
Naomba anayejua ni programu gani(soft ware inayotumika kutengeneza vitambulisho kwa kutumia kadi ngumu (smart card)
Pili ni EPSON PRINTER ipi anayoweza kuprinti hizi kadi ngumu?
Naomba kusaidiwa.
 
Mkuu tafuta watu wa NIDA au TRA upande wa leseni uwaulize wanaweza wakakupa mwanga mkuu kujua hiyo ishu
 
Kama Una Printer hat HP Ndogo za rangi Yaani Inkjet, una laminator basi yahitaj kuandaa kama Laki 3 tu, ipo njia nyepesi zaidi na ya gharama nafuu. Mie Binafsi nimepitia huko. ukicheki baadi ya kazi zangu utaona. muhimu ni kupata softwares either ya adobe illustrator au hata publisher mm nilianzia huko na nikwa natengeneza id fresh tu. Kikubwa upate mtu mzuri wa kukufunza.

Epson l805 ni nzuri sema kiutendaji kazi inaweza kukuchelewesha kama utapata kazi nyingi pia ipo limited kwa card size moja tu, nijuayo mimi. Otherwise kila la kheri sana mkuu.
 
Asante sana mkuu ,ubarikiwe kwenye shughuli zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom