N'gwanantugwa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 347
- 343
Wanajukwaa wenzangu kwanza niwasalim kwa jina la Mungu aliye hai.Walioko katika mfungo wa mwezi mtukifu wa Ramadhani
RAMADHAN KAREEM
Nina sim yangu Tecno w3lte inanichanganya hapa.Nimeweka line na inaonekana katika sim lakini inaniandikia No network.
Majina yaliyopo kwenye line yanaonekana,Internate naingia kama kawaida nikiwasha Data.
Tatizo mtu akinitafuta anaambiwa sipatikani,meseji haziingii na nikitaka kupiga sim naambiwa no sim card.
Nefanya seting zote ila sipati tatizo liko wapi.Nimewapigia wahudum wa mtandao flani inaonekana waliopolea sim zangu hawajui hili tatizo kwasababu hata aina ya sim hawaniulizi.
Naombeni msaada wenu wanajukwaa.
MUNGU AWAONGOZE KATIKA KUNIPA MSAADA
AMEEN.