China kuna product za laptop ni original kabisa so inategemea tu hiyo used kaitolea china sehemu gani.....akiitoa guanzou hiyo lazima itakua bomuNaombeni kujua kwa mwenye ufahamu kuhusu Used Laptops kutoka China.
Kuna mtu yupo China na anakaribia kurudi Tz hivi karibuni. Sasa nataka nimuagize Used laptop kwa ajili ya matumizi yangu binafsi. Je, ni kweli naweza kupata machine nzuri kule china?