Msaada Kuflash memory card

Msaada Kuflash memory card

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,068
Habari zenu wakuu.
Nina memory ta tecno 4GB nimeitumia kwa miaka miwili.
Leo imenigomea baada ya kuituma kwenye subwoofer kwa siku kadhaa.
Iliku hai play nyimbo vizur ndio nilipoitia na kuiflash.

Wakat iki process ikaniambia There is no media in the device ila sasa, inasoma 0B.

Nimetumia windows na Ubuntu bila mafanikio kwote inasema no media in the device.

Nime google mara kadhaa bila mafanikio. Kuna software inarekebisha disk error ya san disk ila hii haifai sababu hii ni tecno.

Plz naombeni ushauri wenu wataalau.

Cc Chief-Mkwawa
 
Kuna program hiyo ndio inaweza rudisha vitu vyako kwa kupitia computer ila ombea isome kwenye computer
 
Kajaribu labda mpya ya SanDisk itafaa... Lakini si unajua jinsi ya kutambua memori kadi feki na orijino??
Kwa ninachoona kila kitu kina mwisho.
Naona life time ya hivi vidude si zaid ya miaka mitatu kwa wale heavy user kama mimi.
 
memory card ya 4GB unaifungulia uzi mkuu?
ina data gani wakati umesema ulikuwa unapigia muziki?
acha kuwa mvivu wa kufikiria,kanunue nyingine..
 
memory card ya 4GB unaifungulia uzi mkuu?
ina data gani wakati umesema ulikuwa unapigia muziki?
acha kuwa mvivu wa kufikiria,kanunue nyingine..
Kuna nyimbo flani ivi kali sasa kuzidownload upya ni kazi
 
Back
Top Bottom