Noop inaleta tu process za saut ukjalib kuipandxha ina weka muteUkibonyeza kwenye hiyo icon vipi...haikuoneshi sauti imezimwa?
Mmmh weka aina ya pc na details zake...Wataalam wapi watakusaidiaNoop inaleta tu process za saut ukjalib kuipandxha ina weka mute
Kweli hiyo X nyekundu inawezekana ikawa umei mute jarib ku click hapo uongeze saut kama sauti itafika mwisho na bado computer ikawa haitoi sauti tatizo linaweza likawa la driver za sauti hiyo kama ukipata program moja hivi inaitwa driver pack solution inaweza ikalitibu hilo tatizo kwa kuziweka sawa hizo sound driversKweny icon ya sound knaakaa alama chekund cha x
Utakuwa umemute sautKweny icon ya sound knaakaa alama chekund cha x
Au driver ya saut imepotezaKweny icon ya sound knaakaa alama chekund cha x