simu yangu haina GO LIVE kwenye facebook

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
677
wakuu samahanini natumia tecno G9 na tatizo nililonalo ni simu yangu kwenye app ya facebook haina sehemu ya GO LIVE pamoja namimi ku update imekataa najiuliza kwanini?najua humu hakishindikani kitu naombeni mnisaidie wakuu.
 
Huja upande tu hio Facebook. Weka bando ingia play store au Market kutegemea na simu yako aina gani.
Tafuta Facebook then bonyeza hapo utaona update na uninstall. Pga update. I hope itakua sawa.
 
Huja upande tu hio Facebook. Weka bando ingia play store au Market kutegemea na simu yako aina gani.
Tafuta Facebook then bonyeza hapo utaona update na uninstall. Pga update. I hope itakua sawa.
nimeupdate tena iyo go live haipo natumia tecno G9
 
Back
Top Bottom