msaada kuhusu programming

msaada kuhusu programming

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
972
Reaction score
441
habari za mchana wadau kiukweli mimi ni mwanafunzi wa sec na huwa natumia muda mchache wa likizo kufanya practical sasa nilikuwa nasoma web developing na nimefanikiwa kuelewa html,css,na javascript sasa nilikuwa nataka niamie apps developing nilianza kusoma python alafu C# lakini zote naona sizielewi so nilikuwa naombeni ushauli nianze na nini maana dhumuni langu ni kuja kutengeneza app kama ya fb itakayo kuwa inareact with my server
 
HTML, CSS, Java Script

Umezielewa are you sure ?
 
Soma PHP then C++ !

C++ na PHP zinafanana. pia unaweza kuanza C++ ndio usome PHP.

mimi nilipokuwa chuo second year nilianzishiwa C++ halafu baadaye tukapiga PHP , ilikuwa ni mwenda wa kutiririka tuu
 
habari za mchana wadau kiukweli mimi ni mwanafunzi wa sec na huwa natumia muda mchache wa likizo kufanya practical sasa nilikuwa nasoma web developing na nimefanikiwa kuelewa html,css,na javascript sasa nilikuwa nataka niamie apps developing nilianza kusoma python alafu C# lakini zote naona sizielewi so nilikuwa naombeni ushauli nianze na nini maana dhumuni langu ni kuja kutengeneza app kama ya fb itakayo kuwa inareact with my server

1. Lengo lako ni kutengeneza application kama ya facebook na si kusoma ili uonekane umesoma au sio?

2. Application unayotaka ni web-based application:
a. Ina client side
b. Ina server side

3. Client side
Unawezatumia client side technogy kama vile:
a.html+javascript+css
b. asp.net(.aspx,.cshtml)+javascript+css
c. .jsp+javascript+css
... zipo client technology kibao, hizi ni chache tuu

4. Server side
Unaweza tumia server side technology kama vile:
a. php (PHP)
b. asp.net code behind file, asp.net mvc controller (kwa ufupi ni asp.net technology) (C#,Visual Basic a.k.a VB, C++)
c. jsp, servlets (Java)

5. Mwingiliano wa client side na server side
I. 3(a) inawork na 4 zote
II. 3(b) inawork na 4(b)
III. 3(c) inawork na 4(c)

6. Data side
Server side lazima iwasiliane na data side e.g kuchota au kuweka data kulingana na business process yako.

Nadhani nimetumia mfano mrahisi kukupa picha halisi.

Dhana ya kusema soma C++, sijui python, sijui nn, ni kupoteza muda tuu. Unawezasoma haya madude yooote na usifanye cha maaana.

Good luck na project yako.
 
Lengo langu si kusoma tu bali nasoma kwa sababu hio nahivyo vyote ulivyo ongelea ndivyo nataka sasa nianzie wapi bro?
 
Anza na 3(b) na 4(b).

How?
1. Soma c# basics kwanza
2. Fanya mazoezi kidogo ya C#
3. Soma asp.net (.aspx,.cshtml n.k)
4. Fanya mazoezi kidogo
5. Fanya sample project nzima (hizi utaziona kwenye tutorials za asp.net)
6. Fanya project yako

NB:
Ukiwa unafanya mazoezi hakikisha unajifunza database basics (sql language and management tools)

Why?
Asp.net development time and learning curve si kubwa sana ukilinganisha na options nyingine.

Tools unazohitaji
1.Visual studio express edition (hii ni free, chukua 2012 iko pouwa zaidi)
Bonyeza HAPA au HAPA ku download
2. Sql server (express edition 2012 iko pouwa)
Bonyeza HAPA ku download

Ziada:
1. Jifunze XML language
2. Jifunze libraries au framework zinazotumika ku manipulate XML document
3. Jifunze json (ni rahisi kama unajua javascript)
4. Jifunze libraries au framework zinazotumika ku manipulate Json data

Yapo mambo mengi, kiasi. Anza na hayo kwanza
 
Thank you ngoja nianze kazi ya kusoma bro lakini kama una notes kidogo ambazo hazita nichanganya sana naomba unipatie
 
1. Lengo lako ni kutengeneza application kama ya facebook na si kusoma ili uonekane umesoma au sio?

2. Application unayotaka ni web-based application:
a. Ina client side
b. Ina server side

3. Client side
Unawezatumia client side technogy kama vile:
a.html+javascript+css
b. asp.net(.aspx,.cshtml)+javascript+css
c. .jsp+javascript+css
... zipo client technology kibao, hizi ni chache tuu

4. Server side
Unaweza tumia server side technology kama vile:
a. php (PHP)
b. asp.net code behind file, asp.net mvc controller (kwa ufupi ni asp.net technology) (C#,Visual Basic a.k.a VB, C++)
c. jsp, servlets (Java)

5. Mwingiliano wa client side na server side
I. 3(a) inawork na 4 zote
II. 3(b) inawork na 4(b)
III. 3(c) inawork na 4(c)

6. Data side
Server side lazima iwasiliane na data side e.g kuchota au kuweka data kulingana na business process yako.

Nadhani nimetumia mfano mrahisi kukupa picha halisi.

Dhana ya kusema soma C++, sijui python, sijui nn, ni kupoteza muda tuu. Unawezasoma haya madude yooote na usifanye cha maaana.

Good luck na project yako.

Nataka kusoma Linux server bila knowledge yoyote ya IT...is that possible?
Je,kama sio possible nianze na nn na kama kuna website unajua wanatoa Training naomba kujua iwe FREE au PAID

Nashukuru
 
Kwa Apps soma Java, Android, Pro C, Objective C, HTML 5

Ila we unaonekana unakichwa kiteke teke ndo maana umeshindwa kuielewa Python language for beginers
 
Mchango hiyo post ya juu kuhusu Linux server
 
Kwa Apps soma Java, Android, Pro C, Objective C, HTML 5

Ila we unaonekana unakichwa kiteke teke ndo maana umeshindwa kuielewa Python language for beginers

tatizo sio kichwa kiteke tteke nimeielewa python ila sio sana maana nimesoma mpaka wxpython ndio nilipo changanywa
 
Nataka kusoma Linux server bila knowledge yoyote ya IT...is that possible?
Je,kama sio possible nianze na nn na kama kuna website unajua wanatoa Training naomba kujua iwe FREE au PAID

Nashukuru

Bro inawekana ingia youtube then search Eli the Computer Guy kuna video nyingi zakutosha kuhusu Linux server
 
Kwa Apps soma Java, Android, Pro C, Objective C, HTML 5

Ila we unaonekana unakichwa kiteke teke ndo maana umeshindwa kuielewa Python language for beginers

Kwenye Red hapo ulitaka kumaanisha nini ?
 
Back
Top Bottom