Kutuma app file

May 12, 2017
10
0
Habar wana jf,naomben kujua ni app gan inayotumika kutumiana app files kwa wale ambao wapo mbali mbali i mean kwa mtandao
 
Tuma file lolote kwa kutumia Whatsapp. Mf.Movie yoyote yenye ukubwa wa Mb1 - Gb4. Fungua file Manager, tafuta hiyo Movie Mf. Regency of an assassin. Mp4, Tafuta Option, Kisha tafuta Rename. Hapo penye (. Mp4 )pabadili nakuandika (. Pdf)itamfikia mlengwa naye akishaidownload ai rename iwe(. Mp4) ataipata kwa Quality ileile ilotumwa.
 
Habar wana jf,naomben kujua ni app gan inayotumika kutumiana app files kwa wale ambao wapo mbali mbali i mean kwa mtandao
Kwa WhatsApp unaweza kutuma pia.
Ni kitendo chakubadili format tu Badala ya apk wewe unarename pdf au txt kama mdau hapo juu alivyoeleza
Kama unaswali usisite kuuliza.
 
Back
Top Bottom