NIMESAHAU PASSWORD YA PC HP G2 450 WINDOW 10

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
739
Wadau wa IT naombeni msaada wenu tafadhali nimesahau password na PIN ya pc yangu...naombeni msaada kwa yeyote mwenye ujuzi ili niweze ku unlock tafadhali
N.B PC NI YANGU WALA SIYO YA WIZI
 
Sikuwaza suala la wizi wakati naanza kusoma, ila mbeleni nimegutuka.

Ushauri: kama humu watakosekana wa kukusaidia, fika kituo kilicho karibu yako wakusaidie maana huwa wanavitengo vya IT
 
Wadau wa IT naombeni msaada wenu tafadhali nimesahau password na PIN ya pc yangu...naombeni msaada kwa yeyote mwenye ujuzi ili niweze ku unlock tafadhali
N.B PC NI YANGU WALA SIYO YA WIZI
Unaweza tumia software inaitwa lazersoft unaweza i burn kwa cd ama kufanya bootable kwa thumbdrive then fanya process kama unavo install windows....thank me later
 
kama kuna email ID yako connected lazima uandike password ya iyo email id ndo itafunguka au kama ni local account ya kawaida tu mie naweza ku unlock ndani ya dakika 5 tu!
 
Back
Top Bottom