msaaada wa kupata seasons

Kumbe unatumia bundle (hela) sio free (bure)
Nadhani mtoa mada alikua anataka app ambayo ni free as kuna apps ili udownload kitu lazima ulipie hata kama unabundle.Mfano kwenye playstore au app store wana category ya free and paid apps na swali lake nazani limebase ito this context sio kuhusu bundle. Kama nmekosea naomba mtoa mada anirekebishe.
 
uko sahihi masta usijali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom