MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Mimi ni mmoja wa wanaosafiri sana lakini tatizo ninalolipata ni pale ninapokosa fursa ya kuangalia luninga za Tanzania hasa nikiwa nje ya Tanzania.
Nimepata MXQ Pro Android TV Box ambayo inaniwezesha kuangalia television mbali mbali nikiwa safarini lakini nimejaribu kutafuta Add-ons/IPTV Live za television za Tanzania sipati.
Ninaomba mwenye uelewa wa wapi Add-ons za televion za Tanzania/IPTV live nitazipata anisaidie ili niweke kwenye box/Kodi.
Ninatanguliza shukrani nyingi pia kama utanieleza jinsi ya kuziingiza kwenye machine/Kodi.
Thanks.