UbongoFAIDA ni kijana ambaye aliingiwa na wivu wenye nia njema kuwa kwanini asitoe maarifa machache anayofahamu kuwasaidia vijana wenzie wenye nia ya kujifunza .
Sasa Atakuwa akikuletea mafunzo...
Ka kilongalonga kangu ka L8 tecno kameugua ugonjwa wa kutojaa haraka asee, waweza chaji kwa masaa zaidi ya nane na kasijae, nimebadili chaja zaidi ya tatu, lakini tatizo lingalipo.
Wajuvu wa haya...
Habari zenu wakuu. Ninapenda kufahamu kama hapa bongo huwa Kuna mshindano ya kumtafuta gwiji wa kucheza game la Tekken. Yoyote Mwenye taarifa anijuze tafadhari.
msaada wenu wadau nashida ya software ya hii receiver inagoma kufungua sony na afn sport, ninazo tatu na moja imegoma ku boot nisaidieni firmware
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha habari hapo juu,
Nahitaji kuingia net untresable lakini nashindwa kuinstall VPN sahihi kwenye PC yangu. Wananiomba visa nilipie but mi nahitaji free, vipi naipataje hiyo free...
Nmezoea kila namiliki smart phone huwa ina kubal kucconect kwenye computer (debug) ila kwenye hii tecno c8 haikubal kusoma kwenye pc ila huwa inachaji tu basi! Msaada jamani nifanyeje
Sent using...
Nimetumia tangu 2015 leo usiku nimeitumia vizuri kabisa nikangia FB,wasap,JF nikaweka off nikalala
Asubuhi niingie mtandaoni kimya kuwasha waiwaki nikatoa betry nikarudisha kimya ikaandika neno...
Habari za saa hizi wanajukwaa, poleni kwa majukumu mbalimbali mliyokutana nayo siku ya leo katika kuhakikisha mnayaendesha maisha tena bila leseni ili mkono upate kufika kinywani na siyo maisha...
habari wadau..
nina home wifi router ya airtel nayoitumia kwenye kazi zangu..
sehem nilipohamia network ya airtel iko very poor router imekuwa haifanyi kazi kwa spidi nayotaka...
nimeamua...
Habari zenu wakuu wote humu ndani? Hope mko poa? Nina tablet yangu ya samsung s8.4 mwanzoni ilikuwa inapiga camera vizuri na inatoa mwanga wa flash lakini sasa hivi imekata haitoi mwanga wa flash...
Kuna baiskeli nimewahi kuiona sehemu flani inakuwa na injini kama pikipiki ingawa unaweza kuendesha kama baiskeli..
Naomba kwa mwenye uelewa juu ya baiskeli hizo anijuze kama ni imara na pia...
Jamani wale wataalamu wa ku design mabango,stika za kwenye magari naombeni ujuzi kidogo ikiwemo vifaa navyotakiwa kuwa navyo na hata gharama halisi za vifaa hivyo!. natanguliza shukurani
Mwanafunzini wa level ya degree hapa Tanzania(information technology) anamaliza chuo then unaenda kufanya kazi kwenye internet cafe??this is crazy.. Anachojua yeye ni Ku install os na office...
Hamjambo wana JF wenzangu? nina swali naomba kuuliza kama televisioni huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi,hivi remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.