Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

Kahesa Andrew

Member
Apr 3, 2012
82
35
Jaman ambaye anasoftware ya kuaunlock modem ya airtell huawei e 173 anisaidie jamani

Finally Huawei E173 za Airtel zinaweza kuwa unlocked, Njia ni kama ya E153 Aliyoweka e2themiza sema kuna changes kidogo. Njia yenyewe ni hii hapa:

TAFADHALI SOMA POST YOTE NA UELEWE KABLA HUJAANZA PROCESS NA KUWA MAKINI SANA KWANI UKIKOSEA KIDOGO TU UNAWEZA UWA MODEM YAKO.

Download na Extract File nililoambatanisha na post hii. Anza ku install QPST.2.7.378. Ikimaliza usiifungue.

Then Chomeka modem yako, weka line ambayo haikubaliki ktk hiyo modem, itatokea dashboard na error kuwa huwezi tumia hii simcard click ok na exit hiyo dashboard hakikisha unaifunga kabisa.
Sasa nenda Device Manager> Ports locate modem yako kisha soma COM port yake
Sasa search ile software ulio install QPST na fungua QPST configuration
Start Menu > Programs> QPST
Then click add new port, ile ulio iiangalia katika device manager
Uncheck "Show serial and USB/QC Diagnostic Ports only. ili zionekane port zote na uione yako kisha Ichague na click ok.

Kama umechagua port sahihi then lazima utona imeandikwa hivi
Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua Start Clients then chagua Software DownloadSasa uhai wa modem yako unategemea hii stage tafadhali kuwa makini sana. Click Back up tab kisha click browse kulia kwako na uchague location ambapo itasave backup yako, then click start na iache imalize ku backup. Kumbuka kuhakikisha imemaliza salama na Backup yako (.qcn) ipo ktk location uliyochagua kabla ya kuendelea na stage zinazofuata. Kufikia hapa awamu ya kwanza itakuwa imeisha, Chakufanya ifunge kabisa QPST kabla ya kuendelea.

Sasa connect Computer yako Internet kwa kutumia simu au modem ambayo sio Huawei, hata kwa njia nyingine kama ipo.
Then Fungua Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya Modem yako, ushofu utaona COM port ni tofauti but utaona imeandikwa "3G PC UI interface"
Then Click Read Modem Info Tab. Itasoma modem information na itasema OK ikimaliza, kama itaandika FAIL ujue una tatizo katika Internet au modem yako haijaunganishwa vizuri au modem inatumika na sehemu nyingine.
Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE. Itafunguka window, sasa locate firmware ambayo ipo folder ulilo extract kabla file nilio ambatanisha, "E1731Update_11.126.15.00.00.B416" Then itaonyesha kama ifuatavyo
Uncheck 05.bin kama hivi

Sasa rudi katika tabs juu na sasa chagua tab "Flash Modem" then chagua "Normal Mode" , Subiri kidogo then kuna kibox kitatokea just click OK, Baada ya modem kuingia katika Download mode (yani subiri km sekunde 10 hivi ndo U click OK otherwise Itakupa msg yakuwa ime FAIL).
Sasa subiria wakati firmware mpya ikiwekwa katika modem yako
Kumbuka lazima utapata error katika 07.bin, Hiyo ni kawaida wala usiogope. Subiri kidogo then itakuwa imemaliza, close hiyo Huawei Modem Flasher
Sasa chomoa na chomeka modem yako. Utaona haina uwezo wa kukamata tena network kwa sababu imepoteza IMEI so inabidi tufanye restore. Kufanya restore Rudia zile step za mwanzo kwa kufungua QPST configuration then add com port, Halafu tunaenda software download, lakini badala ya ku click backup tab, click restore tab.
Then click browse na chagua backup file tulilotengeneza mwanzo. Then click Start na acha i restore, Baada ya muda mfupi itakuwa imemaliza.
Ikimaliza unaweza funga QPST, then chomoa na chomeka modem yako. Kama utakuwa umefuata step zote kwa umakini modem yako E173 itakuwa Permanently Unlocked na unaweza tumia mtandao wowote sasa. Kumbuka IMEI imerudi ile ile kama mwanzo.

Ukifanikiwa usisite kutoa Feedback na pia kama utapata shida yoyote ile sema.

Note:
Njia ni salama kabisa nimesha unlock modem zaidi ya tatu na zinapiga mzigo kama kawaida. Kumbuka kuwa makini kwani unaweza uwa modem yako moja kwa moja.
Mimi sitahusika na uharibifu au tatizo lolote litakalojitokeza Just Risk Yourself.
 
oDmAVzuDOPz0PEV3gbA2hr-hVk78Gd0Fv7cuQl5JpKaE-uFKH14xvHKuWmX208CFLnwzmFJtQpwg8WrfU4gJb5l5BE8c3nKkaaThQoxtNa9MufHvVYwO9l--D5qp1zcnMg

Uv5aSFU7V8GioUixjvpGb4LU_J5OgoIpppk3CNczYJDne0UwGFtDzDMlFQVwD8cHF1M5kU7-yKELmzqKr7zGnyrdu76I14aVN7Ox1S9d-fIxjcTN-f_N2YJTyEkiqG9A6w

1gzQDUY4zqbog8uk9AkeU1OAzA_OT0XZpEqBct1VwEzjNbJJNtX9G0foDT4422nBJmECmDy3fPqbriEuiEmXWM915modawCiNGbV-hd4VhqVm-R958ZsaDHcYDW8ftfIFA

fdzqPdPR4s-LPk82FRZMNT-_jH1D8vfmlTQ1jirYpB_A4kHk-1TzNTdUCtmh_le2wWzIgxME2L0Hp1u6Tf2bTGna5bnyxeN2rpgNAI-OSH7qIGTNHD-Uou68kVV9DJ8E1g

HrX5F5fLZgzNqD7PFzaRPLFTcUdYy4Pq08z71ga5ovCW-DyhJy6N5eiVY_v3Pd2ufIPFk90IdAphqs3nu_bfhL-h7ZAuX6wNciUR-GI2WxvmBEiIudZwp_tw6MNVeKc_Yw

Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua Start Clients then chagua Software Download

FBoq-xsMfey8ctuMK0FNmTkAiugwYR621Fa3Sn0kCdi8A2tIqpXOXiWwh1vARhNC8K0jA2czjpZDb_s6v7LFcY_wz-DA1wSLiTturhGynCssOMs0XyVPc21TUwyIs9mBlw

Sasa uhai wa modem yako unategemea hii stage tafadhali kuwa makini sana. Click Back up tab kisha click browse kulia kwako na uchague location ambapo itasave backup yako, then click start na iache imalize ku backup. Kumbuka kuhakikisha imemaliza salama na Backup yako (.qcn) ipo ktk location uliyochagua kabla ya kuendelea na stage zinazofuata. Kufikia hapa awamu ya kwanza itakuwa imeisha, Chakufanya ifunge kabisa QPST kabla ya kuendelea.

fpYMvEsrhdwMTQSIbAQ-BlPop1oWOHN13cOAxDSbYO3MuFApt1ncE7rVg-Uw77uHR8J4KSp7s1A7JyVVQbz5t_Nki9cf_S-8pU_xA5BUHUukoLARSlsUo_wVkDKDSjRV1g

dD-1IjAvFplwFyc51ZWa_CnTziv0B-zhmUJLC8qbFkHVr3V12hHicpee9z-CCwqqZCINMsKiBuNLZhctw7dSn84NhG5Gm8wcKwFPsZcGSfKVZDWo0X7hykxHEh1jg2SVOg

3WwvRLSOq9ltNajKulZOKFMR8heRxkzWvH0f2_oxGN26b_imbU3jkPW08fSxlatrWoKkpa1RbCa00_cy4cwtKrnIK8IgLCv6H44GDu6Uv0oMLCsagfMQzQqrFdRcDmqNWw

MSKKXEKf2dAp-1Ib8_kH1_D3yT0tb4pqBzhLkMg9ADVHqghguShOHNCIyCtOQX2CzEginuOn4To2nxY9oa6CCto5sV5evE0OwarF9BXNjm6VmuoXmA5Veb0gZpjOG142mg

Uncheck 05.bin kama hivi

Rczb8mdN6G0y6KIG0qeWsUOPMBXYP-2xlfKHOwd0pzra7ZfBD8cBokM6N0xFwNXeYb3q5BkCLWPuJKQg8nFFgszn8c-KrHWMKvTdeaP9IFAXvmpfs0MImrICsxekvTRBRw

ZP3OzIieVrk0REPxqjmiQdO7s1Lcc87EYtQY7nVTH_13nBt7ujCk4TXU2LcH3pmL7LSUeY3ekvmGLGrQMtn8NOQlgRNCPXOpix7J1FBLvWba6CiMBdyeda3mWEz-WJyGfA

1kawgJy6eMlMT8B5YH5ieaOYUARd1S1TVYAUakw2FFbEoKy2PyCEg_BP3MI8BXRw_S-Vu9MFYWEq11C5dMqL1Ec9on9fIvWxVs_5rw0nGdD5AgkkS6cIg2KjzKqlckvGVA

jO__JOBVye6ufZmd8YNU_EOA7Mi9t4MSqcuAzyJQZGwyi34HPssgLlhENZQstnb5vhfOA-H2wp8OreO4VkPwnKO53NYrHxmpNjPOY1-iyP7bt8GZClbityVMMR4jt8MQdg

8SghL9GB6ipzwiJbgc5kJdoXJGZU3U25mOic6sH8u4kCyT7_5D3S12HllYzfhXQ2kthGozuN7OJvQ1QFfU7yB7mdyFAMAb5Xpog22eIF1AoZrCZ1oroV9b-ZJTq9pM48NQ

Swafi sana kijana pia shukrani za pekee ziende kwa e2themiza
Nimejaribu hiyo kitu imekwenda vizuri but nilipofika hatua ya kuflash kwa normal mode ikagoma kwa kuleta error 01.bin so nikajaribu kwa "resume mode" ndo ikakubali .
challenge nyingine iipo kwenye kurestore maana usipokuwa makini utashindwa.....
Kwasasa modem inatwanga kote kote
 
Last edited by a moderator:

Pamoja mkuu, Nashukuru kwa kuleta feedback hapa, kuna watu kwao kuwa wa kwanza ni mwiko wanataka hadi watu wengine wathibitishe ndo wao wafanye, asante sana kwa kuniamini.
 
Natumia win 7 professional 64 bit,lakini niki install QPST.2.7.378 napata error kama inavyoonekana ktk image hii
2013-02-23_135133.png
 
Natumia win 7 professional 64 bit,lakini niki install QPST.2.7.378 napata error kama inavyoonekana ktk image hii
View attachment 84286

Baada ya kuhangaika kimtindo,nimpata soln ya hii error niliyokua naipata wakati na install QPST.2.7.378,soln ni kudownload hiki kitu vcredist_x86,
link vcredist_x86.exe
nilipo install hiyo kitu (vcredist_x86,) ndipo nikaweza kuinstall QPST.2.7.378 bila error yoyote,
na nimefanikiwa kuflash na now inapiga kazi fresh,shukran kwa gkiwango na pia challenge nilizo kutuana nazo ni kama
wakati nafanya back up file langu nilisave kama vvv.qcn lakini wakati najaribu ku restore nikawa nikilocate ile back up yangu (vvv.qcn),ikawa inafail ku restore mpaka nilipodadilisha jina la back up yangu kutoka vvv.qcn to DEADD00D_0.qcn kama alivyosave gkiwango ktk picha zake,ndipo ikawa inakubali(sijui kama ni lazima kusave jina hilo,ila kwangu ilikataa mpaka nilipobadilisha jina) ndo ikakubali,challenge nyingine ni pale nilipoanza kurestore imei katika ile hatua ya mwisho ikawa inaenda mpaka 40% then dashboard ya huawei ikawa inafunguka,then ikawa ina fail kurestore mpaka nilipofuta baadhi ya support files ya dashboard yangu(niliogopa ku unstall dashboard yote kwa kuhofia inaweza futa na drivers) nikafanikiwa kurestore mpaka 100% bila kupata error yoyote kwakuwa dashboard ya huawei haikufunguka tena wakati na restore imei.now moderm inapiga kazi fresh,
big UP to gkiwango
nawasilisha.
 
Attachments

  • QPST_about.jpg
    QPST_about.jpg
    13.2 KB · Views: 257

umenena sahii kijana!!
Hapo kwenye red hata mimi palinisumbua maana ilikuwa inasema back up ninayotaka kustore haimatch na device baada ya kujaribu mara kadhaa ndo ikakubali.
Nashauri wengine wanaokuja nyuma wacheck hii changamoto.
Wakati wa kuflash E173 nilitumia net ya modem ya Huawei E 303 ila sishauri wengine wafanye maana inasumbua some time usipokuwa makini port zinachanganya njia bora kama modemu zako zote ni huawei tafta mshkaji mwenye laptop yenye wifi chomeka modem then tafuta ile conectify dispatch hotspot ku create wireless then unapiga mzigo na pc yako baada ya kuunga hiyo wifi toka kwa pc ya mshkaji.
Jinsi ya kucreate wi-fi Mkuu e2themiza kaelezea kirefu hapa https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-ya-kucombine-mitandao-3-a-4.html#post5374319
 
Pamoja mkuu, Nashukuru kwa kuleta feedback hapa, kuna watu kwao kuwa wa kwanza ni mwiko wanataka hadi watu wengine wathibitishe ndo wao wafanye, asante sana kwa kuniamini.

mkuu mimi nimejaribu lkn ile sehemu imeeandikwa FFA/SURF 6290 Baada ya ku-add com port mimi naandikiwa NO PHONE kwa maana hiyo siwez kuendelea naomba msaada wako

NOTE:com port sikuikosea
 
JARIBU KUCHOMEKA SEHEMU NYINGINE THEN HAKIKISHA INADETECT NDO UCHECK COM PORT MOJA KATI YA MBILI MFANI 16 NA 17 JARIBU 16 IKIKATAA CHAGUA 17 THEN LETE MREJESHO MAANA KUNA JAMAA ALIKUWA NA MODEM YA ORANGE ZILE ZA SOUTH AFRICA HAMBAYO ILIKUWA HAIKUBALI LINE YOYOTE YA KIBONGO SO MWENYEWE ALIKUWA ANAITUMIA KAMA CARDEREADER TU.
HAPA NILIPO NINAIMILIKI BAADA YA KUINUNUA KWA BUKU 10 NIMEJARIBU HII TRICK -MIA SASA NAKULA NET YA WAJANJA SPEED MPAKA 5mbps ILE YA ZAMANI ZTE K3570-Z TUPA KULEE
 
Mr Kicheko mi mwenyewe nimekwama hapo kwa kudetect modem. nimejaribu different ports na hadi mashine tofauti. shida itakuwa wapi labda?

**************************************edit******************************************************

nimefankiwa kusave backup. port hazionekani kwenye device manager ya pc niliyotumia (sijui shida ni nini) so nilifanya kazi ya trial & error. mtandao wa voda ukakataa kabla sijaanza kuflash (hizi shida hizi.... LOL) so imebidi niuate wifi ofisini. ndo nipo kwenye michakato ya kuflash hapa, nikirudi kitaa nitarestore na kutoa full report

2ni0kuf.jpg

bado kurestore IMEI tu

2e0iv7o.jpg

**************************************edit******************************************************

kitu tayari unlocked. sehemu ilipokuwa tofauti ni kwa restore. kwanza QPST ikasema backup sio compatible na modem so ikabidi nitick hapo inaposema "allow phone/ file ESN mistmatch" then baada ya hapo ikasema tena kuwa haiwezi weka phone in offline mode. nilichomoa modem, nikachomoa line nikaunganisha na in 10 secs restore ikawa tayari. mpaka hapa naitumia na line ya voda, ndo nafanya mipango ya ku update dashboard na ya mobile partner. shukrani zangu mkuu gkiwango :) we ni noma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom