Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu Natumai mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu. Nahitaji mtu anitengenezee application ambayo itaweza kupatikana kwenye play store. Hivyo yeyote ambaye ana uwezo huo anaweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hamjambo wadau, Ninaomba yoyote anayejua jinsi ya kupokea hela kutoka paypal kwa hapa Tanzania, anisaidie maana nimetafiti kwa kuuliza benki kama Equity wakasema wana hii huduma kwa Kenya tu na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu niliomba Msaada wa Hili Tatizo lakini sikupata Msaada wengi wamejikita kwenye Ukisiaji na Ku google Kitu ambacho Mimi hakinishindi Naomba Mwenye Njia sahihi ya Kurekebisha hili Tatizo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu habari Nimedownload kaspersky antivirus hivi punde sasa inaniambia niistall tena .net frame work 4.0 baada ya hapo ndo ipogress sasa nimeidownload imefika mahala imestack aiendelei tena...
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Habari wadau, Nahitaji msaada kutoka kwenu wadau. Mimi nishazoea iphone na android si mambo yangu kabisa mana sijaipenda. Sasa juz kati nikaona wacha nijaribu kutumia android, na flagship katika...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu... Kama heading inavyosomeka hapo juu, simu yangu ina matatizo yafuatayo, huwa inajiwasha data yenyewe, inaleta matangazo mara kwa mara tena sometimes yanakuja ya ngono pia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenye kuweza ili tatizo nimejaribu factor setting sijafanikiwa....>>>nimejaribu kuapdate kwa SD CARD aitaki kukubari.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu Nina simu ya W5 inasumbua, nikidownload vitu (pictures,videos and documents) baada ya muda Kama wiki moja nakuta vile vitu vimejifuta Au wakati mwingin pictures zipo Ila...
0 Reactions
7 Replies
960 Views
Nahitaji SEO PowerSuite Software Mwenye nayo anipm tufanye bihashara
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Habari JF, Naomba kufahamishwa. Unapo futa file ama folder ama document nyingine yoyote katika kompyuta i/linakwenda wapi? Ikumbukwe kwamba kuna temporary deletion na permanent deletion...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Kwa wale players wa GTA v jifunze trick hii muhimu. More Gaming videos GAMING - YouTube Like subscribe also add me on PSN #wizzyquan
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba msaada jamani, maana nlikuwa naweza kuhamisha files kutoka kwenye simu yangu (Techno boom J8) kwenda kwenye PC lakini nikifanya hivyo sasa inagoma,lakini nikiweka simu aina nyingine...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
laptop ya hp compac 6910b imekufa kioo natafta replacement yake. Naweza kipata kwa mafundi gani? Pia hiyo kamba ya power button imesagiga nataka mpya. Pm me kama una hivo vifaa.
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Naomba kuelekezwa namna ya kurekebisha frequency kwenye dish la azam tv ambalo limepoteza uelekeo kabisa.Mimi nipo kijijini kiasi kwamba kumpata fundi italuwa taabu.Decorder inasoma intensity 16...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Prosessor hii ni ya desktop ipo sokoni ni dual core kwa 350,000Tshs Iko katika ubora wa hali ya juu. pm me price is negotiable. Sifa zake. Number of Cores 2 Number of Threads 4 Processor Base...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanaJF!!! Nafafuta battery original/Genuine ya laptop(kama inayokuja na PC)...au isipopatikana hiyo sio mbaya ata Replacement yake(Grade ya kwanza) yenye uwezo wa kukaa na chaji Masaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, nina tatizo la HDD Password kwenye Laptop ya Samsung Notebook nimejaribu kuiondoa kwa kila njia niijuayo imeshindikana na mbaya zaidi nikaamua hadi kubadilisha window lakini tatizo...
0 Reactions
40 Replies
11K Views
Kutokana na maombi ya wadau,kutaka niiweke hadharani circuit ya kuongeza nguvu ya umeme maeneo ya low voltage(Umeme mdogo) ambao unashuka chini ya 110 Volatage hivyo stabilizer ya kawaida...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Msaada wenu wakuu,modem yangu hupatwa na matatizo ya ku fail nnapo taka ku connect data.inaniletea ujumbe ambao nmescreen na ku attach hapo chini.huwa nna un install,halaf nna install tena,hapo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom