The Black Hermit
Member
- Jul 8, 2017
- 86
- 73
Habari, nauliza, ni vifaa gani ambavyo vinasaidia kufanya network ya Internet ya simu kuwa ya kasi zaidi? Maana huku niliko network ni E pekee, napata shida sana ku-access internet kwani nalazimika ku-shift to another place ambapo kuna angalau 3G.
Sasa naomba wataalam wa IT mnisaidie kujua kifaa kinachoweza kusaidia.
TUSAIDIANE.
Sasa naomba wataalam wa IT mnisaidie kujua kifaa kinachoweza kusaidia.
TUSAIDIANE.