Wakuu, naomba kushare nanyi website ambayo imekuwa ikinisaidia kupata keys za program mbalimbali ambazo zimekuwa zikiuzwa.
Ukiingia Smart Serials The Ultimate Resource of Free Serials tafuta...
Jamani naomba mnielezee ipi ni best brand kwa uimara(not perfomance)kati ya HP, LENOVO, DELL NA TOSHIBA?? NB: Sihitaji maelezo ya brand nje ya hizo nilizotaja hapo.
Sent using...
Naomba kujua jinsi ya kupata Unlimited Bando kwa matumizi ya Ofisini, kutoka kwenye kampuni za simu iwe Tigo, TTCL, Voda, Airtel, Halotel etc ila iwe na kasi ya 4G au 3G.
Bando liwe ni la mwezi...
Wakuu habari
Nataka kufanya sim card Port kutoka Vodacom kwenda tigo but kinachotokea ni kwamba kila nikifanya naambiwa taarifa ziko wrong, nikaenda Vodacom wakaniprintia taarifa zangu kama...
Wakuu tafadhali kisimbuz changu cha Azam kinaniandikia No program nimekitumia takribani mwaka, jana kuna dogo kaminyaminya rimoti sijui hata kafanyeje leo nawasha nakuta no program. Msaada tafadhari.
Yoyote mwezo uzoefu wa kununuwa bidhaa kutoka china kupitia alibaba express naomba msaada wake wa jinsi ya kuwagiza bidha,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wote wanaotaka kujifunza computer na teknolojia yake na mambo ya graphics na web design bure youtube nitakuwa nikikuletea ujuzi wa aina mbali mbali, ndio nimeanza na excel njoo ujifunze ukiwa...
You can choose to differ with me but it is the harsh reality that our Universities is the main reason most of the Tanzania ICT professionals eliminate programming as their career option. Most of...
Habar ya humu kama kichwa kinavyojieleza naomba mnipe maelezo wapendwa nilimpa sim yangu mdog wangu siku futa chochote nilivyompa sasa akawa anatak kutumia wasap kwa namb yake nikamuelekza kweny...
Ndugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, jana nimenunua simu ya TECNO L8 Lite.
Lkn kwa uharaka niliokuwa nao nikasahu kuuliza namna ya kufungua mfuniko wa nyuma kwa ajiri ya kuweka line...
Habari zenu wadau, naomba kuuliza je naweza kutumia lg led tv yangu kama monotor ya kompyuta kwa kuunganisha na cpu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia techno c8 WhatsApp yangu haifanyi kazi kwa kutumia mobile data. Nikitumia WiFi inafanya kazi. Tatizo ni nini hapo wataalamu. Msaada tafadhali. Yani ukitumia mobile data internet inashuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.