Icons za kupiga, Meseji na Majina hazifanyi kazi kwenye Huawei Y360, tatizo nini?

mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
2,666
3,453
Habari ya wakati huu wakuu...Samahani Mimi kijana makini na maskini nina Simu tajwa hapo juu ambayo wiki iliyopita ilikuwa ikistuck sana mpaka nakosa raha ya kutumia sasa kupita pita kwa rafiki zangu na watu wakaribu nikapewa ushauri ni-reset


Basi nikafanya nikafuta kila kitu majina mpaka Downloaded Apps na simu ikawa Cool...


Sasa tatizo lingine ni hizi Icons za kupiga, Meseji na Majina hazifanyi kazi kabisa ukizigusa zina respond km Kioo cheupe tu baada ya muda zinarudi ilihali Icons zingine zote zinapiga kazi...


Naitaji kufahamu tatizo nini! Maana Pesa yakununua nyingine sina na bado naipenda sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Download launcher nyingine then fanya test kwa kuapply iwe ndo launcher ya simu ,ila ikishindikana download kitu kinaitwa TRUECALLER it's best kwa kweli hope itafanya kazi kupiga simu na kutuma sms ,ipo PLAYSTORE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Update sim yako kama ina latest version hilo tatizo litaisha,,,, Ndio tabia za Huawei ambayo inakera sana sometimes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom