Muyobhyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 8,149 Reaction score 6,556 Aug 14, 2017 #1 Jamani najaribu kufungua website ya Air Tanzania ambayo ni www.airtanzania.co.tz naona haifunguki au nimekosea site address yake msaada tafadhali
Jamani najaribu kufungua website ya Air Tanzania ambayo ni www.airtanzania.co.tz naona haifunguki au nimekosea site address yake msaada tafadhali
mputamaseko JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 1,401 Reaction score 949 Aug 14, 2017 #2 Hawajielewi hao..wanasubiria amri kutoka magogoni ndio wajue kuwa kuna shida. 666
J JOHNKEKE JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 1,310 Reaction score 1,466 Aug 15, 2017 #3 Inafunguka. Mimi jana nimefanya booking bila shida!
Muyobhyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 8,149 Reaction score 6,556 Aug 15, 2017 Thread starter #4 nimefungua leo, nataka kwenda tabora nimeona bei yao kubwa na inaondoka mchana nimebook PW via kahama, pangaboi ni via dodoma, nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
nimefungua leo, nataka kwenda tabora nimeona bei yao kubwa na inaondoka mchana nimebook PW via kahama, pangaboi ni via dodoma, nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi