Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,543
Salaam jf.
Nilikuwa nahitaji simple circuit kwa ajiri ya ku discharge capacitor na kupelekea led kuwa on kwa sekunde baada ya power kuwa off. Yaani pindi power itakapokuwa on capacitor iwe charged lakini led iwe off (yaani led iwashwe kutokana na ku discharge kwa capacitor na sio power source) na pindi power inapokuwa off capacitor idischarge na kuwasha led kwa sekunde na pindi capacitor itakapokuwa full discharged na led izime. Yaani sihitaji switch ya kimakenika.
Nilitaka kuweka simple security katika gari. Kama kuna uwezekano sio mbaya hata kwa kutumia IC sio mbaya.