Website ya Board ya Mikopo iko linked na Website ya PornoGraphics Video

raymkindo

Senior Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
102
Reaction score
46
Hii inanisikitisha sanaaaaa, kwa website kongwe ya kitaifa yenye kutoa taarifa za kitaifa kuwekwa link ya Video za Mapenzi tena mchana kweupeee.

Hawa ma IT wao pesa yao ya mshahara wangenipa mkopo ili niweze kuendelea na masomo.

Click Mbele ya neno RESERVED

Utakachokionaa usimwambie mwenzio.
Mimi nalalaaa.

1477945465185.jpg
 
Ni kweli uki click hapo inakupeleka huko kwenye hizo video chafu

Ila pia wametoa angalizo "This site may be hacked"
d1f67cc4d67195f001619d92b17a088a.jpg
 
Google wako makini na Security zao kuliko!!!
 
Mla mkono anajifanya kuingia heslb kisha anasonga mbele kwenye ile porn website, akihisi kuna mtu anakuja anarudi nyuma fasta anakutwa yupo website ya heslb.
 
Hii inanisikitisha sanaaaaa, kwa website kongwe ya kitaifa yenye kutoa taarifa za kitaifa kuwekwa link ya Video za Mapenzi tena mchana kweupeee.

Hawa ma IT wao pesa yao ya mshahara wangenipa mkopo ili niweze kuendelea na masomo.

Click Mbele ya neno RESERVED

Utakachokionaa usimwambie mwenzio.
Mimi nalalaaa.

View attachment 427445
Samahani mkuu umejuaje kwamba endapo utafungua hiyo website uka click mbele ya neno Reserved basi utakutana na porno?
Natamani kujua idea ya kubonyeza mbele ya neno Reserved uliipataje?
 
Nilikuwa naangalia angalia tuu security ya hawa watu walioninyima Mkopo na na nimegundua bado wanaitaji umakini na usahihi zaidi.
They are not serious!!!
Hakuna aliye ona mpaka sasa na kufanya maintenance pamoja na security zao.
Wajifunze.

So i just share this kila mtu ajue na aone kama hawataki kurekebisha sawaaaa.
 
Pole kwa kukosa mkopo mkuu
 
Hii inanisikitisha sanaaaaa, kwa website kongwe ya kitaifa yenye kutoa taarifa za kitaifa kuwekwa link ya Video za Mapenzi tena mchana kweupeee.

Hawa ma IT wao pesa yao ya mshahara wangenipa mkopo ili niweze kuendelea na masomo.

Click Mbele ya neno RESERVED

Utakachokionaa usimwambie mwenzio.
Mimi nalalaaa.

View attachment 427445

Watakuwa wameiweka ' makusudically ' kabisa ili ' kuwafariji ' wale ambao watakuwa wakiingia huko ili hata kama wakiona ' wametoswa ' basi wasishindwe pia kuchukua ' maujuzi ' ya ' kungonoka ' ambayo pengine yanaweza yakawasaidia huko mbeleni katika kuitafuta na kuipata ' ada ' ya kujisomeshea Chuo Kikuu. Jamaa ni ' wabunifu ' mno Mkuu!
 
Haya sasa naona madenti wa IT wameamua kama mbwai iwe mbwai [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliyetengeneza hii website ningependa kumjua ili nihakikishe sitokuja kufanya naye kazi kabisa.
Hiyo code kaiweka mwenyewe, alafu alivyo mjinga kayapa maandishi rangi nyeupe ili yasionekane.
Kama sio mtengeneza site aliyeiweka hiyo code then ni hacker ambaye anajaribu kuipa hiyo website yake higher rank kweye search engine, anaingilia website maarufu ambazo zina hugher rank ana-inject website yake, inakuza sana rank.
 
Screenshot from 2016-11-01 03-28-52.png
watu wanajua kupekua hii, jamaa aliweka makusudi itakua
movbiz.org
 
Hii ni kitu cha kawaida kwenye Mambo ya online ,na isitoshe kwa Ma IT wanaotumia Open Source Software ndo mbaya zaidi,Open Source software kama Jomla,WordPress ,Drupal Mybb ,phpbb na zinginezo ,sio vizuri sana kuzitumia kwa sababu watengenezaji wa hizo software huwa wanaweka codes za Advertisements it kujipromote zaidi. Wito wangu kwa Ma ITs wote kuwa makini na tunachokifanya,na pia kama wewe ni IT wa sehemu au Taasisi flani ,hakikisha kila siku unapitia website ya Taasisi yako ili kucheki kama kuna kitu chochote kime interfere na kukirekebisha fasta kabla hakijaleta bad impression kwa jamii au wateja wa taasisi hiyo.
 
Sasa huu ni ujingaaa sanaaa!!
Taasisi kubwa kama hii haikutakiwa kuwa na huu ujinga.
Jamaa anaendelea kupiga pesa kwa kutumia backlinks sisi tunaangaika kufungua site kujua habari za mikopoo mwenzetu anapiga pesaa.

Opportunity imetumikaaa kwa wakati sahihi ila si mahala sahihi.
Tunajisifu kuwa tuna ITs wanao SEO Taasisi kubwa kama hii.
Thats why i hate open sources na hata nikitumia i will do the best to be smart and careful.

Na bado kuna issue nyingine hapooo.
Nitaileta baadae.
 
Hii ni kitu cha kawaida kwenye Mambo ya online ,na isitoshe kwa Ma IT wanaotumia Open Source Software ndo mbaya zaidi,Open Source software kama Jomla,WordPress ,Drupal Mybb ,phpbb na zinginezo ,sio vizuri sana kuzitumia kwa sababu watengenezaji wa hizo software huwa wanaweka codes za Advertisements it kujipromote zaidi. Wito wangu kwa Ma ITs wote kuwa makini na tunachokifanya,na pia kama wewe ni IT wa sehemu au Taasisi flani ,hakikisha kila siku unapitia website ya Taasisi yako ili kucheki kama kuna kitu chochote kime interfere na kukirekebisha fasta kabla hakijaleta bad impression kwa jamii au wateja wa taasisi hiyo.
You mean developers wa Wordpress wanaweza matangazo kama hayo?
 
Hivi hizi government institutions zetu watu wa IT wako serious sana au ni mwendo wa kufungua mabawa kwenda training nje na kurudi na ma-ipad kibao mbwembwe laki moja juu ya viti virefu samaki samaki na kwingineko?
Nakusanya data jamani kujifunza zaidi. Kama vipi nipotezeeni
 
Back
Top Bottom