hahahaha wala hujakosea kamanda...aliexpress 'manzese' mbavu zanguAmazon ni kama unanunua nguo kwenye botique za Masaki.
Ebay ni kama unanunua nguo hiyo hiyo kwenye botique za Sinza na mwenge.
Ali express ni kama unanunua nguo hiyohiyo Manzese.
Naomba ufafanuzi zaidi unamaanisha ubora au unafuu maana kitu kinauzwa manzese ni km vile ni fake ila wa mwenge, sinza na masaki ini original au vyote vp ktk ubora ulele ila ghrama ndio tofauti?Amazon ni kama unanunua nguo kwenye botique za Masaki.
Ebay ni kama unanunua nguo hiyo hiyo kwenye botique za Sinza na mwenge.
Ali express ni kama unanunua nguo hiyohiyo Manzese.
amekueleza vizuri kabisa kuwa kitu kilekile. na sio tofauti, hajasema copy bali kitu kilekile.Naomba ufafanuzi zaidi unamaanisha ubora au unafuu maana kitu kinauzwa manzese ni km vile ni fake ila wa mwenge, sinza na masaki ini original au vyote vp ktk ubora ulele ila ghrama ndio tofauti?
Nilikua najiuliza sana nashukuru umenieleweshaAmazon ni kama unanunua nguo kwenye botique za Masaki.
Ebay ni kama unanunua nguo hiyo hiyo kwenye botique za Sinza na mwenge.
Ali express ni kama unanunua nguo hiyohiyo Manzese.
Naomba ufafanuzi zaidi unamaanisha ubora au unafuu maana kitu kinauzwa manzese ni km vile ni fake ila wa mwenge, sinza na masaki ini original au vyote vp ktk ubora ulele ila ghrama ndio tofauti?
Nmeona comment yakonaikubali ebay kwa items nyingi mostly from Europe kuna option ya standard int'l shipping(around $2)...mzigo huchukua 10days or less kuwasili posta
Mkuu vipi kuhusu gearbest.com nimeona wanasafirisha vitu kuja Tz umewahi kutumia huduma za huu mtandao maana naona bei zao ni zuri hasa vifaa vya electronicsAmazon hawaleti electronics na vitu vingine vingi Tanzania plus shipping yao ni gharama sana pia vitu vingi vinaunuliwaa nawatu Aliexpress vinaongezewa bei kisha vinawekwa Amazon.
Aliexpress bei ndogo na shipping cost ndogo au free, vinachukua muda kufika, kunaa baadhi ya vitu hasa computer na brand name goods hazipatikani Aliexpress.
Vipi mkuu umewahi kujaribu huu mtandao gearbest.com kufanya manunuzi?Kwa miaka yangu yote 8 ya kufanya online purchases, nadhani eBay inaongoza kwa kila namna. Buyer Protection Policy, Ebay's Global Shipping program, Product details & compatibility , volume of goods (Wider choice) etc..
nilitumia sana gearbest kufanya purchase miaka ya juzi wako vizuri 25days or less mzigo hua unafika ..wako poa kiujumlaVipi mkuu umewahi kujaribu huu mtandao gearbest.com kufanya manunuzi?